pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Tell them! I already gave him a warning. Somebody wants to rope you in on their isht, don't take the bait.Nalendwa is Who?!...Puh Leez!
Tell them! I already gave him a warning though.
Tell them! I already gave him a warning. Somebody wants to rope you in on their isht, don't take the bait.
Very upbeat and cool, you?How's You?!
Great! Its friday, thank God! I said it. πGood to know..
Am Wonderful!
Great! Its friday, thank God! I said it. π
Hatuangalii gdp pekee yake ndugu, tumezingatia minzani zote za kimaedeleo: mishahara, miundo mbinu, afya, elimu, mipango miji, maji safi, longevity, nutrition, umeme nk.
Upende usipende, Kenya imezidi Tz mara....
Brettonwood, UN na Afdb zimesema.
But who doesnt know....or has even suspected that that Mkikuyu akili- Tahira is actually Geza Ulole alter account? Even you must have sensed this deceit about him being a Kenyan, hailing from centro.Tell me, havent you? Your secret is safe with me.....
Lakini mnashindana sana na Kenya. Malengo yenyu ni kuipiku Kenya kiuchumi, kibiashara, kimaendekeo, kiushawishi kanda hili. Kubalini tu. Kwani ubaya iko wapi?Brother sisi LENGO letu siyo kushindana na Kenya, SHABAHA YETU kubwa ni KUTIMIZA MALENGO TULIYOJIWEKEA.
HUWO NDIYO MTAZAMO TULIOJIWEKEA.
Ahaaa haaa haaa
Mkikuyu is waterere warere speaking person.
If you don't believe me anza kuongea naye lugha ya kikuyu.
Mkifikiri kenya ndio kipimo chetu, mtakuwa mnajidanganya.Tanzania tuna agenda yetu ya Self-Reliance tokea 1967. That idea has pass through rough patch with global challenges but now we're on track.Lakini mnashindana sana na Kenya. Malengo yenyu ni kuipiku Kenya kiuchumi, kibiashara, kimaendekeo, kiushawishi kanda hili. Kubalini tu. Kwani ubaya iko wapi?
MK254, ni lugha gani ile ya kibongo ulikuwa ukiandika humu kwa ufasaha? Hivi sasa inamaana wewe ni mtanzania?
Nange luganda nikimannyi katono, ne siri ommusajja wa e'gwanga ye Uganda, ssebo.
Fyi, Geza used to say that he was living in Kenya, working for some NGO. If that 2014 claim is true, then.....
Apology accepted.It was just an example but never the less, my apology. Namaste
.Kwa hivyo umekiri ya kwamba Kenya imezidi Tanzania kiuchumi na kimaendeleo.....?Mkifikiri kenya ndio kipimo chetu, mtakuwa mnajidanganya
Tanzania tuna agenda yetu ya Self-Reliance tokea 1967. That idea has pass through rough patch with global challenges but now we're on track.
Hivi ulisoma ukaelewa nikichoandika au umekurupuka kujibu. Kenya isn't a country we would like to shape ourselves into.The Kenyan model will not work in Tanzania, you can see even our policies are different. Tumejaribu to harmonise policies kupitia EAC, lakini unaona hiccups are everywhere..Kwa hivyo umekiri ya kwamba Kenya imezidi Tanzania kiuchumi na kimaendeleo.....?
Good for you. But are u really self reliant? What portion of your budget is funded by donors, in comparison to Kenya's?
Haha [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa kwa vitimbi sikuwezi.
It was just an example but never the less, my apology. Namaste
Lakini mnashindana sana na Kenya. Malengo yenyu ni kuipiku Kenya kiuchumi, kibiashara, kimaendekeo, kiushawishi kanda hili. Kubalini tu. Kwani ubaya iko wapi?
MK254, ni lugha gani ile ya kibongo ulikuwa ukiandika humu kwa ufasaha? Hivi sasa inamaana wewe ni mtanzania?
Nange luganda nikimannyi katono, ne siri ommusajja wa e'gwanga ye Uganda, ssebo.
Fyi, Geza used to say that he was living in Kenya, working for some NGO. If that 2014 claim is true, then.....
tuna lugha ambayo imetuunganisha pamoja na kuweka tofauti zetu mbali,tanzania ni nchi ambayo unaweza kuishi na mtu zaidi ya miaka bila kujua kuwa huyo mtu ni kabila gani na kwa nini uongee lugha ya kabila lako katika mazungumzo ya watu watatu kisa yupo mmoja wao anaekuelewa ijapokuw ipo lugha uwezayo kuongea na kila mtu akakuelewa hivyo basi lugha za hasili kwa Tanzania huzungumzwa katika mkusanyiko wa watu wanayoifahamu tu!Nirewaha mambo etidhe, yani kunde njira bwang'aa ...... Hehehe niko hapa ila mumenitoa nje maana nimedandia treni kwa mbele sijui mumetokea wapi na mambo ya lugha, ila lugha za Kitanganyika nilizokua nimejifunza zimenitoka kwa ajili ya kukosa mazoezi, maana hata wenyewe hawazijui wala kuziongea, ni wachache kule mikoani wanaziongea tena kwa uwoga uwoga wasiitwe washamba.