I Agree With Tanzanian Minister.

I Agree With Tanzanian Minister.

Hatuangalii gdp pekee yake ndugu, tumezingatia minzani zote za kimaedeleo: mishahara, miundo mbinu, afya, elimu, mipango miji, maji safi, longevity, nutrition, umeme nk.

Upende usipende, Kenya imezidi Tz mara....
Brettonwood, UN na Afdb zimesema.

Brother sisi LENGO letu siyo kushindana na Kenya, SHABAHA YETU kubwa ni KUTIMIZA MALENGO TULIYOJIWEKEA.

HUO NDIYO MTAZAMO TULIOJIWEKEA.
 
But who doesnt know....or has even suspected that that Mkikuyu akili- Tahira is actually Geza Ulole alter account? Even you must have sensed this deceit about him being a Kenyan, hailing from centro.Tell me, havent you? Your secret is safe with me.....

Ahaaa haaa haaa
Mkikuyu is waterere warere speaking person.
If you don't believe me anza kuongea naye lugha ya kikuyu.
 
Brother sisi LENGO letu siyo kushindana na Kenya, SHABAHA YETU kubwa ni KUTIMIZA MALENGO TULIYOJIWEKEA.

HUWO NDIYO MTAZAMO TULIOJIWEKEA.
Lakini mnashindana sana na Kenya. Malengo yenyu ni kuipiku Kenya kiuchumi, kibiashara, kimaendekeo, kiushawishi kanda hili. Kubalini tu. Kwani ubaya iko wapi?

Ahaaa haaa haaa
Mkikuyu is waterere warere speaking person.
If you don't believe me anza kuongea naye lugha ya kikuyu.

MK254, ni lugha gani ile ya kibongo ulikuwa ukiandika humu kwa ufasaha? Hivi sasa inamaana wewe ni mtanzania?

Nange luganda nikimannyi katono, ne siri ommusajja wa e'gwanga ye Uganda, ssebo.

Fyi, Geza used to say that he was living in Kenya, working for some NGO. If that 2014 claim is true, then.....
 
Lakini mnashindana sana na Kenya. Malengo yenyu ni kuipiku Kenya kiuchumi, kibiashara, kimaendekeo, kiushawishi kanda hili. Kubalini tu. Kwani ubaya iko wapi?

MK254, ni lugha gani ile ya kibongo ulikuwa ukiandika humu kwa ufasaha? Hivi sasa inamaana wewe ni mtanzania?

Nange luganda nikimannyi katono, ne siri ommusajja wa e'gwanga ye Uganda, ssebo.

Fyi, Geza used to say that he was living in Kenya, working for some NGO. If that 2014 claim is true, then.....
Mkifikiri kenya ndio kipimo chetu, mtakuwa mnajidanganya.Tanzania tuna agenda yetu ya Self-Reliance tokea 1967. That idea has pass through rough patch with global challenges but now we're on track.
 
Mkifikiri kenya ndio kipimo chetu, mtakuwa mnajidanganya
.Kwa hivyo umekiri ya kwamba Kenya imezidi Tanzania kiuchumi na kimaendeleo.....?
Tanzania tuna agenda yetu ya Self-Reliance tokea 1967. That idea has pass through rough patch with global challenges but now we're on track.

Good for you. But are u really self reliant? What portion of your budget is funded by donors, in comparison to Kenya's?
 
.Kwa hivyo umekiri ya kwamba Kenya imezidi Tanzania kiuchumi na kimaendeleo.....?

Good for you. But are u really self reliant? What portion of your budget is funded by donors, in comparison to Kenya's?
Hivi ulisoma ukaelewa nikichoandika au umekurupuka kujibu. Kenya isn't a country we would like to shape ourselves into.The Kenyan model will not work in Tanzania, you can see even our policies are different. Tumejaribu to harmonise policies kupitia EAC, lakini unaona hiccups are everywhere.

As for budget support, 2016 it 4.5% expected to go down to 3.8%. All this is part and parcel of being low income country, which also give us privilege to have a free trade of our goods on the world market, something Kenya craves to have.

UPDATE 1-Tanzania expects to spend more in 2017/18, crack down on...

As for self reliance, the goal is achievable considering nini tunavyo hapa nchini.
 
Lakini mnashindana sana na Kenya. Malengo yenyu ni kuipiku Kenya kiuchumi, kibiashara, kimaendekeo, kiushawishi kanda hili. Kubalini tu. Kwani ubaya iko wapi?

MK254, ni lugha gani ile ya kibongo ulikuwa ukiandika humu kwa ufasaha? Hivi sasa inamaana wewe ni mtanzania?

Nange luganda nikimannyi katono, ne siri ommusajja wa e'gwanga ye Uganda, ssebo.

Fyi, Geza used to say that he was living in Kenya, working for some NGO. If that 2014 claim is true, then.....

Nirewaha mambo etidhe, yani kunde njira bwang'aa ...... Hehehe niko hapa ila mumenitoa nje maana nimedandia treni kwa mbele sijui mumetokea wapi na mambo ya lugha, ila lugha za Kitanganyika nilizokua nimejifunza zimenitoka kwa ajili ya kukosa mazoezi, maana hata wenyewe hawazijui wala kuziongea, ni wachache kule mikoani wanaziongea tena kwa uwoga uwoga wasiitwe washamba.
 
tuna lugha ambayo imetuunganisha pamoja na kuweka tofauti zetu mbali,tanzania ni nchi ambayo unaweza kuishi na mtu zaidi ya miaka bila kujua kuwa huyo mtu ni kabila gani na kwa nini uongee lugha ya kabila lako katika mazungumzo ya watu watatu kisa yupo mmoja wao anaekuelewa ijapokuw ipo lugha uwezayo kuongea na kila mtu akakuelewa hivyo basi lugha za hasili kwa Tanzania huzungumzwa katika mkusanyiko wa watu wanayoifahamu tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom