I am a new comer, naombeni mnipokee Ndugu zangu

Kijana amechanganya madesa anafikiri yupo insta. Nadhani kwa ulivyokuja tuu wewe hautakuwa material humu.
Usijaribu tena kutuwekea sura yako tena we only want your thoughts
 
Na pia uandishi wa kifacebook/instagram huku hautakiwi..

Taratibu za uandishi nadhani unazijua Mangi au sio.?

Jenga hoja za msingi, za maana na zenye mashiko! Epuka mihemko na jazba zisizo na maana.

Yote kwa yote karibu sana...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…