Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hahahaa humu tunaitana mkuuNimekuelewa mzee baba
Hebu mweleweshe ajue na manufaa kwa wengine wasio juaHata anajua hayo maexpert member ndiyo manini unadhani? Acha ajichoreshe
Halafu kwa huyu ukienda hata pm unakuwa na uhakika Paprika!🙂Karibu sana new comer!!! Jisikie uko nyumbani.
Macho yako yavutia...
We mgeni veepi? Nshakua mama lao?Nashukuru mama lao..
Nimepata allergy ya PM... Namalizia kila kitu hapaKwa huyu ukienda pm unakuwa na uhakika Paprika!🙂
Ungemmalizia kabisa Vyombo vyote vya kuwashikisha adabu vinatupia macho mitaa hii...Karibu sana Nickson Lema lakini nakutahadhalisha hapa sio fesibuku hata utangulize sura yako. Watch out
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Karibu sana new comer!!! Jisikie uko nyumbani.
Macho yako yavutia...
Yapi yamekukuta huko jamani?Nimepata allergy ya PM... Namalizia kila kitu hapa
Ata sijakutwa na chochoteYapi yamekukuta huko jamani?
Pia kumbuka ni bora zaidi kutumia fake name.Sawa mkuu