I am a new comer, naombeni mnipokee Ndugu zangu

I am a new comer, naombeni mnipokee Ndugu zangu

Kwa mara ya kwanza nimemuona kuku mgeni akiwa na kamba mguuni!!🙂.......Karibu sana JF mkuu!
 
Acha kujichora humu utafilisiwa mpaka nywele za kuvalia nguo za kubana.
 
Karibu sana Nickson Lema lakini nakutahadhalisha hapa sio fesibuku hata utangulize sura yako. Watch out
Ungemmalizia kabisa Vyombo vyote vya kuwashikisha adabu vinatupia macho mitaa hii...
Heshima na Adabu kitu muhimu sana JF.
Kauli mbiu ya hapa Asie funzwa na ***** atafunzwa na Ulimwengu japo si Li Generall..
 
Tunawekaaga nakapicha kandani. Maana kuna bamia na mguu wa mtoto. Where do you fall. Picha tafadhali
 
Sawa mkuu
Pia kumbuka ni bora zaidi kutumia fake name.
Angalia majina ya wote humu kama yana uhalisia
ukifahamika humu kwa mawazo yako ya kuudhi yanaweza sababisha waku romalize au hata kukubenilize.
behave like a ghost here
Welcome young man
 
Back
Top Bottom