I am a new comer, naombeni mnipokee Ndugu zangu

We jamaa wewe hahahaa, karibu lakini kwa kuweka picha tu umedhihirisha wewe sio great thinker ni muuza sura tu
 
Karibu sana Mkuu but NOT TO THAT EXTENT ya kuweka mpaka picha yako humu. Hujasikia kuhusu watekaji na watesaji Mkuu!? Be very careful.

2d5c10bd12230e81ea90e6c224fc98e1.jpg
 
Karibu sana Mkuu but NOT TO THAT EXTENT ya kuweka mpaka picha yako humu. Hujasikia kuhusu watekaji na watesaji Mkuu!? Be very careful.
Nashukuru broh,nilikua cjajua Taratibu za Huku...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Karibu sana Mkuu but NOT TO THAT EXTENT ya kuweka mpaka picha yako humu. Hujasikia kuhusu watekaji na watesaji Mkuu!? Be very careful.
Sign out and join with new ID and new Avatar. Hapa siyo facebook mtoto. Wanaoonyesha sura ni akina Kisandu na wabunge wanaotafuta kujulikana. By the way sijamwona Ritz siku za hivi karibuni kabadili ID na avatar au??? Karibu mwanangu/mjukuu.
 
So how do I remove picture on JF.?
 
Back
Top Bottom