Kiaje mkuu?
Huyu mleta mada hili tatizo lake kuna 98% limesababishwa na malezi!
Inavyoonekana ametoka familia ambayo iko open sana na alikuwa anajiamulia chochote atakacho bila kuwa na uangalizi wowote ule. Mwisho wa siku akajikuta anajaribu na visivyo stahili kujaribiwa hatimae akawa hivi alivyo!
Naamini kuna uwezekano mkubwa sana hata familia yake ina ufahamu kuhusu hii hali aliyonayo lakini haina la kufanya, na hii imepelekea yeye kuanza kujianika adharani kama hivi.
Alichobakiza sasa hivi huyu mleta mada ni kuwakusanya tu wenzake wenye same sexual orientation na kuingia barabarani kudai haki zao kwamba na wao katiba yetu iwatambue huku wakipewa mgongo na mabalozi wa nchi kama Canada,Uk,USA,France kwa hapa nyumbani.