I am a straight guy,but am attracted to lesbians

I am a straight guy,but am attracted to lesbians

kunta93

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
754
Reaction score
1,512
Members Mimi ni mwanaume ambae niko kwenye early 30's

I have a girlfriend and we love each other a lot ila Nina tatizo moja la kuvutiwa na ma lesbians sijui kwann
Nikigundua tu wadada flan wanasagana basi navutiwa nao sana na napenda niwe karibu nao

Sijui Nina tatizo gan?,au in psychological problem au ni anything else.kwa anaejua anisaidie plz

Hata watu maarufu wa kike navutiwa na malesbo kama ruby rose, daria berenato etc

Seeing lesbians turns me on
 
Du! sasa mkuu unavutiwa uwe karibu nao kwa ajili ya nini hasa? maana hao ni kama wanaume,na wanatamani wanawake, kifupi ni kwamba hao ni wanaume kama wewe sasa unataka wakufanyeje?

Angalia usije ukaanza kuvutiwa na wanaume komaa uchomoke hapo unapotaka kukwama vinginevyo utasahaulika.
 
Hakuna straight anayepata hisia za mapenzi na wapenzi wa jinsia 1

Huyu kazunguka tu, lakini mpaka anafikia hatua hii ya kujitangaza mtandaoni kuwa anavutiwa na watu wenye mahusiano ya jinsia moja ni dhairi tayari hata yeye ni homosexual(gay man)

Anachofanya hapa ni kujaribu kutafuta justification tu ya kile anachokifanya jamii inakichukuliaje.
 
Porn effect. Labda ambacho huwa kinavutia kwa hao watu ni nini tuanzie hapo?
 
Elekeza mabandiko yako kuwasaidia mkuu

Kiaje mkuu?

Huyu mleta mada hili tatizo lake kuna 98% limesababishwa na malezi!

Inavyoonekana ametoka familia ambayo iko open sana na alikuwa anajiamulia chochote atakacho bila kuwa na uangalizi wowote ule. Mwisho wa siku akajikuta anajaribu na visivyo stahili kujaribiwa hatimae akawa hivi alivyo!

Naamini kuna uwezekano mkubwa sana hata familia yake ina ufahamu kuhusu hii hali aliyonayo lakini haina la kufanya, na hii imepelekea yeye kuanza kujianika adharani kama hivi.

Alichobakiza sasa hivi huyu mleta mada ni kuwakusanya tu wenzake wenye same sexual orientation na kuingia barabarani kudai haki zao kwamba na wao katiba yetu iwatambue huku wakipewa mgongo na mabalozi wa nchi kama Canada,Uk,USA,France kwa hapa nyumbani.
 
Hilo tatizo limekuanza lini,na sababu iliyochangia kwako kua na hilo tatizo ni ipi hasa?
Jichunguze tabia yako kwanza,anayeweza kukubadilisha ni wewe mwenyewe.
 
Kiaje mkuu?

Huyu mleta mada hili tatizo lake kuna 98% limesababishwa na malezi!

Inavyoonekana ametoka familia ambayo iko open sana na alikuwa anajiamulia chochote atakacho bila kuwa na uangalizi wowote ule. Mwisho wa siku akajikuta anajaribu na visivyo stahili kujaribiwa hatimae akawa hivi alivyo!

Naamini kuna uwezekano mkubwa sana hata familia yake ina ufahamu kuhusu hii hali aliyonayo lakini haina la kufanya, na hii imepelekea yeye kuanza kujianika adharani kama hivi.

Alichobakiza sasa hivi huyu mleta mada ni kuwakusanya tu wenzake wenye same sexual orientation na kuingia barabarani kudai haki zao kwamba na wao katiba yetu iwatambue huku wakipewa mgongo na mabalozi wa nchi kama Canada,Uk,USA,France kwa hapa nyumbani.

Asiefunzwa na mamake hufunzwa na ulimwengu,unaweza ukaplay part ya kuwa ulimwengu muelimishe who knows anaweza badilika

Usiwe kati ya walalamikaji maana kosa lishafanyika bali rekebisha tatizo
Huyu ni baba wa kesho,kama hawezi jisimamia mwenyewe atamsimamia nani kesho

Naamini katika mabandiko yako yanaweza yakamuokoa mtu hapa
 
Back
Top Bottom