barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Lesbian akinipa gemu napiga freshi tu..mbona chemical kagongwa nae na mimba juu?Members Mimi ni mwanaume ambae niko kwenye early 30's
I have a girlfriend and we love each other a lot ila Nina tatizo moja la kuvutiwa na ma lesbians sijui kwann
Nikigundua tu wadada flan wanasagana basi navutiwa nao sana na napenda niwe karibu nao
Sijui Nina tatizo gan?,au in psychological problem au ni anything else.kwa anaejua anisaidie plz
Hata watu maarufu wa kike navutiwa na malesbo kama ruby rose, daria berenato etc
Seeing lesbians turns me on
Soon utaanzwa kufir.wa duh dunia hii buanaMembers Mimi ni mwanaume ambae niko kwenye early 30's
I have a girlfriend and we love each other a lot ila Nina tatizo moja la kuvutiwa na ma lesbians sijui kwann
Nikigundua tu wadada flan wanasagana basi navutiwa nao sana na napenda niwe karibu nao
Sijui Nina tatizo gan?,au in psychological problem au ni anything else.kwa anaejua anisaidie plz
Hata watu maarufu wa kike navutiwa na malesbo kama ruby rose, daria berenato etc
Seeing lesbians turns me on
Asiefunzwa na mamake hufunzwa na ulimwengu,unaweza ukaplay part ya kuwa ulimwengu muelimishe who knows anaweza badilika
Usiwe kati ya walalamikaji maana kosa lishafanyika bali rekebisha tatizo
Huyu ni baba wa kesho,kama hawezi jisimamia mwenyewe atamsimamia nani kesho
Naamini katika mabandiko yako yanaweza yakamuokoa mtu hapa
Walimwengu wana nafasi ya kumfunza mtu aliyekosa mafunzo kutoka kwa wazazi wake ikiwa kama kila mwana ulimwengu anamuona mtu huyo kweli ni mkosefu na anahitaji kurekebishwa.
Hii issue ya gayness/lesbianism/homosexuality amini na kwambia kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo inavyozidi kuonekana ni suala la kawaida. We are in the phases of normalization of homosexuality!
Na kitu chochote kikishaanza kuonekana ni cha kawaida ni ngumu sana kwa mtu mmoja mmoja kukupigia kelele na kikbadilika, maana utaonekana umekosa ya kufanya na unapoteza muda tu.
Hususani kwa nchi kama yetu hii ambayo haijulikani ina embrace ideology ipi ni ngumu sana kusimamisha hii trend ya ongezeko la watu wa dizaini hii. Maana hata serikali tu yenyewe haina ubavu wa kuongea lolote linalopingana na uwepo wa hawa watu.
Ukijitia kisebusebu cha kuanzisha campaign yoyote yenye mlengo hasi dhidi yao unajikuta huko hatiani kwa kosa la infringement of human rights.
Bondia Manypacquiao aliwahi kusema akiwa kama mkristu akubaliani na suala la ndoa za jinsia moja..!! yaani ile amemaliza tu kusema siku iliyofuata kampuni ya Nike ambayo ndio ilikuwa mdhamini wake mkuu ika-terminate mkataba wake!
Kukabiliana na ongezeko la watu hawa ni suala lilisowezekana kwa urahisi, cha kufanya hapa ni kujitahidi sana muwalee vizuri hao watoto wenu ambao bado hawajaingia kwenye huu mkumbo wasitumbukie tukazidi kuangamiza kizazi.
Labda tuamini anavutiwa tu ila bado hajaanza kufanya hayo mambo.Tumepoteza mvulana tayari
Uzi wa kijinga sana huu, moods uondoeni umenikatisha mood yangu ya leoMembers Mimi ni mwanaume ambae niko kwenye early 30's
I have a girlfriend and we love each other a lot ila Nina tatizo moja la kuvutiwa na ma lesbians sijui kwann
Nikigundua tu wadada flan wanasagana basi navutiwa nao sana na napenda niwe karibu nao
Sijui Nina tatizo gan?,au in psychological problem au ni anything else.kwa anaejua anisaidie plz
Hata watu maarufu wa kike navutiwa na malesbo kama ruby rose, daria berenato etc
Seeing lesbians turns me on
Kunyooka......[emoji85]Kuwa straight ndio kuwaje wakuu?
Members Mimi ni mwanaume ambae niko kwenye early 30's