Walimwengu wana nafasi ya kumfunza mtu aliyekosa mafunzo kutoka kwa wazazi wake ikiwa kama kila mwana ulimwengu anamuona mtu huyo kweli ni mkosefu na anahitaji kurekebishwa.
Hii issue ya gayness/lesbianism/homosexuality amini na kwambia kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo inavyozidi kuonekana ni suala la kawaida. We are in the phases of normalization of homosexuality!
Na kitu chochote kikishaanza kuonekana ni cha kawaida ni ngumu sana kwa mtu mmoja mmoja kukupigia kelele na kikbadilika, maana utaonekana umekosa ya kufanya na unapoteza muda tu.
Hususani kwa nchi kama yetu hii ambayo haijulikani ina embrace ideology ipi ni ngumu sana kusimamisha hii trend ya ongezeko la watu wa dizaini hii. Maana hata serikali tu yenyewe haina ubavu wa kuongea lolote linalopingana na uwepo wa hawa watu.
Ukijitia kisebusebu cha kuanzisha campaign yoyote yenye mlengo hasi dhidi yao unajikuta huko hatiani kwa kosa la infringement of human rights.
Bondia Manypacquiao aliwahi kusema akiwa kama mkristu akubaliani na suala la ndoa za jinsia moja..!! yaani ile amemaliza tu kusema siku iliyofuata kampuni ya Nike ambayo ndio ilikuwa mdhamini wake mkuu ika-terminate mkataba wake!
Kukabiliana na ongezeko la watu hawa ni suala lilisowezekana kwa urahisi, cha kufanya hapa ni kujitahidi sana muwalee vizuri hao watoto wenu ambao bado hawajaingia kwenye huu mkumbo wasitumbukie tukazidi kuangamiza kizazi.