I am a teacher!!!!!

I am a teacher!!!!!

Van pierre

Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
25
Reaction score
0
Mimi ni mwalimu wa masomo ya Sayansi O-level and A-level,nafundisha Mathematics,Physics na Chemistry. Natafuta Shule ya kufundisha. Yeyote anayeweza kunisaidia anitafute kwa e-mail ifuatayo:johnchriss77@yahoo.com
 
Mwalimu wa hesabu huna kazi! Inaelekea kuna somsing wrong. Sema ukweli!
 
kwanini mnapenda kuwachoma watu na maneno makali, yeye kasema anatafuta kazi na hayuko hapa kueleza what is wrong with him.
 
Mkubwa mbona unamasomo mengi ya kufundisha wakati walimu wa sekondari wana somea kufundisha masomo mawili. Je, ni mwalimu by professional au una elimu tu so unajiita mwalimu, kma by proffessional kuna ajila kwa walimu wa sayansi ni jibu.
 
Back
Top Bottom