I am addicted to sex

Status
Not open for further replies.
Binafsi sioni kama ni tatizo;

But one thing you should take care is how to handle the situation..

Kwa haraka haraka nimeona haujaingia kwenye maisha ya ndoa bado. Kama hujafikia hatua hiyo jaribu kuwa na partner mmoja mwaminifu.

Ni vema ukimpata mtu ambae pia ni addicted ili mfanye asubuhi na jioni na kadri mnavyoona. .

Kama hauna partner wa kudumu jaribu uwe nae manake kuonja onja mboga kila mahali na hiyo hali sio salama pia..

Mwisho , fanya mapenzi kila mara unapotaka...kama ni kijana wa 26-35 ndio watu huwa wako kwenye peak kingono.. make it your daily bread and enjoy
 
Ni addiction tu kama addiction nyingine na kwenye hili sidhani kama unanifikia hata nusu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Pole sana...

S.e.x drive yako ipo very high...

Unahitaji mwanaume mwenye hulka kama zako, awe ana kusex kila muda au mahali popote pale, bafuni, chooni, chumbani, sebuleni, kwenye corridor, jikoni hata nyuma ya masofa...


Cc: mahondaw
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…