I am addicted to sex

Status
Not open for further replies.
Usitujibie swali!
KAMA HUFANYI KAZI YAKO VIZURI USITEGEMEE UTAGANDWA AISEE!
tunakutizama hivi!
mwanaume anayetamaniwa ni yule anayejua kazi yake!
 
Mwalimu, tukutane butimba june hiiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mbona nilitaka ukanishaua?
 
kapiece bwana
 
Mimi na mke wangu haiwezi kupita siku mbili bila kupiga kazi kwa 6*6 wenda mmoja wetu awe amesafiri. Sasa nashangaa unavyosema unaweza kumaliza wiki alafu unasema kua.addict na sex. Sisi tulipiga mchezo adi wiki moja kabla ya wife kwenda kujifungua.

Yaani wife anataka na mimi ninataka; basi sisi tutakua tunaumwa wote.
 
Bora nyie week, nlifanya leo kesho nkaenda kujifungua
 
Mada kurupushi hizi, ila mko wengi.. Wifi yako yeye haipiti siku hajahitaji.. Akiwa kwenye days zake atleast naweza kunywa gahawa kwa Makame baada ya kukamuliwa mpk mbegu za akiba!
 
Wewe fanya tu..kama wakukidhi hamu zako yupo na mmeridhiana hamna tatizo....kama ungesema kwamba muhusika anashindwa kazi basi hapo kungekua na tatizo..lkn kama unanyegeka na mtu wa kukunyegenyua yupo...hamna tatizo...endelea kuenjoy maisha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…