pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Hapana aisee ila mwenyewe kashajuaDuh! Tayar mmeshaingia pm watu hampendagi ujinga kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana aisee ila mwenyewe kashajuaDuh! Tayar mmeshaingia pm watu hampendagi ujinga kweli
Usitujibie swali!Itakuwa haukojoleshwi mama. Ukikojozwa hamu inaisha kabisa, nshawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa dzain yako. Ilkua ni kutwa mara 3. Nilipokuja kumpatia vizuri (kumfikisha) akakaa sawa kabisa. Tafuta wa kutulia nae akupatie vzur tatzo litaisha jaribu aina tofaut tofaut za mikao ipo siku utapata inayokufikisha kunako.
AMEEEN!Ukimpata anaekukojoza ndio unakua sex addict sasa. Maana ukiwaza unavyokojozwa unataka tu sex sio jambo lingine
automatikale!Very true, yani the more the good sex the more I'm dying for it... (Nkikojozwa na kizungu kinapanda)
Mwalimu, tukutane butimba june hii😀😀😀Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.
Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh
Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
Mbona nilitaka ukanishaua?Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.
Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh
Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
Kwani nmekuambia nna karanga?Mbona nilitaka ukanishaua?
Jamani sio malaika resort?Mwalimu, tukutane butimba june hii😀😀😀
kama c. ronaldo vile maana naye anazeeka na kipaji chake cha sokaNazeeka na hamu zangu
kapiece bwanaHili ni tatizo linatukumba watu wengi tusiokunywa pombe, kuvuta sigara ama kutofanya mazoezi, hata kama una majukumu kuna muda wa kupumzika kama kulala nk, huo muda sasa kichwa kinawaza kuliwa tu, nyege zinapanda mpaka unajikuta unajirembulia mwenyewe tu
Nini kifanyike sasa!! Ni kumpa mzee agonge shida inakuja km mzee yuko biiize na hajakusoma au nae ndo wale wa kimoja anaanza kukoroma
Labda anataka msaadaNashangaa badala avue pichu apigwe dudu anakuja kulialia hapa cc Evelyn Salt
Ila me NI Mama wa Miaka 51G
Wewe kitaalamu una high sex drive. Nafurahi kuona mnavyozidi kujitokeza zaidi. Kwa sasa kuna Evelyn Salt Demiss Kasie Money Penny
kapeace
nasubiria list zaidi
Naomba sub mkuu ?Ndio na zaidi.
Bora nyie week, nlifanya leo kesho nkaenda kujifunguaMimi na mke wangu haiwezi kupita siku mbili bila kupiga kazi kwa 6*6 wenda mmoja wetu awe amesafiri. Sasa nashangaa unavyosema unaweza kumaliza wiki alafu unasema kua.addict na sex. Sisi tulipiga mchezo adi wiki moja kabla ya wife kwenda kujifungua.
Yaani wife anataka na mimi ninataka; basi sisi tutakua tunaumwa wote.
Teh teh..Huyu ana nafuu mke..Shida yangu kubwa zaidi..Uzidi kunikumbuka kwenye maombi