I am addicted to sex

Status
Not open for further replies.

Kuchelewa kufanya ngono haina athari yoyote as long as the subject hasn't triggered anything to balance it out, when they feel the urge of having sex.


Siku yoyote atakapo ipata fursa ya kuanza maisha yake ki ngono, atakwenda vizuri tuu, na atajifunza maarifa na kuujenga uzoefu kama kawaida.
Anae weza kuzipata athari ni yule alie masturbate just to avoid intercourse, then aka stop the habit altogether(taboo au dini)... And they took a long time before tuning into natural sexual habit. Kuna vitu huenda vikapoteza muelekeo.
 
Muombe Mungu akusaidie hilo kwake ni jepesi sana
 
Bado addiction inasumbua?
 
Kuna wanaolalamika hawana kabisa hamu na tendo la ndoa sana sana wanaumia badala ya kufurahia. Wewe mshukuru Mungu ila usiingilie mme wa mtu. Ni addiction sawa na pombe au sigara, unatakiwa tu upange mda wako vizuri. Kwa kuwa umejitambulisha wanaume wapo njiani wanakuja mpaka vibamia
 
Mwanamke wa hivi haki ya nani Nikiwa nae "lazima watanigongea"

yani nitagongewa mimi mpk,Mungu aniepushie anipe wakufanana nami...
 
Gosh!
Nakubaliana na wewe kwa hili maana nina solid proof.
Way back nilikuwa na GF ambaye kapitia maisha kama haya ya kuwa na mahusiano na watu wazima tangu angali mdogo, hii inahusisha aliyembikiri.
Kukazia point yako, bidada anapenda ngono ni balaa, she is addictive.
Bahati mbaya zaid sasa hivi kaolewa na anaishi mbali na mumewe, kinachoendelea huko ni shida tu.
 
Nishajua...njoo Dm nione namna ya kufanya utu kukusaidia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…