Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Shemeji Kula...Mmmh we shemeji wewe....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemeji Kula...Mmmh we shemeji wewe....
😂😂😂Nakwambiaa, mtu nishaga teuliwa nimepewa udc nakutana na hili faili mwisho uteuzi utenguliwe.
Mtafte kondeboySijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.
Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh
Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
[emoji16][emoji16][emoji16] umenikumbusha ile Thread yakohivi best kumbe na wewe unalo hili?
Siyo kweli, ni kinyume chake ndio sawa!Mara nyingi wanawake waliolazimishwa/ingiliwa kwa nguvu wakati wa utotoni na Wanaume wazima ndo huwa na hayo matatizo, huwa wanakuwa high sex drive, lkn inatibika ni trauma, tafuta clinical psychologist atakusaidia, uwe mkweli na historia ya maisha yako.
Nilishawahi kuwa na demu kama hiyo, baada ya kuona kwamba alikuwa na high sex drive klk kawaida nikaanza kuongea naye pole pole aliponiamini akafunguka na kuniambia kilichomtokea utotoni, inasikitisha sana.
Mtumishi kumbe upo..Nakusalimu..Mmmh we shemeji wewe....
Vile nimekuona nishapona..Nipo hapa laazizi njoo nikutibu
@espy hajambo?Vile nimekuona nishapona..
Amina mtumishi....Mtumishi kumbe upo..Nakusalimu..
[emoji16][emoji16][emoji16] umenikumbusha ile Thread yako
Nakusubiri WhatsApp, nipate kitu cha kunilewesha usiku huu 🤭Inaweza kuwa ni normal
Kuna mtu mzima mwenzangu nae alikuwa analalamikia hili jambo
Wewe cha kufanya hapo anxisha mahusiano na wahun wa mtaan itafuah mwenyeweSijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.
Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh
Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
Jirani wangu wa faida...Huyo aliniacha mchana kweupe k/koo..@espy hajambo?
Ni kawaida , iko hivi Mwanamke Akifika Umri wa kuanzia miaka 30s mwili wake unaongezeka Sana mihemko anakuwa anahamu Sana ya kusex, na huo umri wa kuanzia miaka 30s ndio umri ambao Mwanamke akisex huwa anapata raha ambayo hajawahi kuipata akiwa chini ya huo umri, Raha hiyo anayoipata na ongezeko la mihemko ndio huwa sababu ya kumfanya awe addicted na sexInaweza kuwa ni normal
Kuna mtu mzima mwenzangu nae alikuwa analalamikia hili jambo