I am addicted to sex

I am addicted to sex

Status
Not open for further replies.
G
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.

Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh

Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
Wewe kitaalamu una high sex drive. Nafurahi kuona mnavyozidi kujitokeza zaidi. Kwa sasa kuna Evelyn Salt Demiss Kasie Money Penny
kapeace
nasubiria list zaidi
 
Hahahahahhahaaa yaani wewe unatuchukua rookoo unataka listi iongezeke ili utufanyanyie utafiti gani??

Ila mie uniondoe kwenye listi maana ni kigagula kuliko wote hapo japo genye ziko palepale.

Jana Dadii aliniambia yaani wewe kila siku una nyege..... Nikachekaa huku narembua macho.... Hehehehehheheheheee.

Usituhesabie matonge banaa tutashindwa kula kwa kuona soni.

K' Matata.
 
Hahaha nafasi yako ataikaimu rasmi LadyRed maana nae yupo moto sana lol!
 
Lkn wiki 2 ni nyingi sana sioni tatizo hapo, huyo huwezi kusema kwamba ana high sex drive.
Demu mwenye high sex drive utamjua tu, kwanza yeye ndo hutaka na huanzisha sex sasa ukishindwa kumtimizia wakati yeye akitaka anatombwa na mwingine, na kwa kawaida hutaweza na ndo maana wote huwa wana multiple sexual partners.

Mimi wangu alikuwa ananipigia simu kabisa ananiambia ana nyege za kufa mtu niende na alikuwa ananitisha akisema usipokuja tusilaumiane, nilidata dadadeki.
Unasafiria kipochi manyoya ili kisiliwe na mtu😂😂😂😂😂
 
Mara nyingi wanawake waliolazimishwa/ingiliwa kwa nguvu wakati wa utotoni na Wanaume wazima ndo huwa na hayo matatizo, huwa wanakuwa high sex drive, lkn inatibika ni trauma, tafuta clinical psychologist atakusaidia, uwe mkweli na historia ya maisha yako.

Nilishawahi kuwa na demu kama hiyo, baada ya kuona kwamba alikuwa na high sex drive klk kawaida nikaanza kuongea naye pole pole aliponiamini akafunguka na kuniambia kilichomtokea utotoni, inasikitisha sana.
Wewe mwenyewe ni demu sasa utakuwaje uwe na demu
 
Evelyn Salt ..... unajua the older we get as women the better the sex gets. You know why? We know our bodies better.... We know what tickles our fancy.... we know how to get the pleasure we desire and we are not afraid to take the leading roles.

Heck, we are older now.... more comfortable in our own skin. We have accepted our ecellulite and stretch makes and we wear them as trophies of motherhood. And in between all this.... sex gets better.

And when anything gets juicer..... we want it more. And more.
 
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.

Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh

Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
me too
 
Mara nyingi wanawake waliolazimishwa/ingiliwa kwa nguvu wakati wa utotoni na Wanaume wazima ndo huwa na hayo matatizo, huwa wanakuwa high sex drive, lkn inatibika ni trauma, tafuta clinical psychologist atakusaidia, uwe mkweli na historia ya maisha yako.

Nilishawahi kuwa na demu kama hiyo, baada ya kuona kwamba alikuwa na high sex drive klk kawaida nikaanza kuongea naye pole pole aliponiamini akafunguka na kuniambia kilichomtokea utotoni, inasikitisha sana.
Nishakuwa na mmoja aliyepitia hali kama hyo utotoni, Yeye alikuwa molested na babu yake nilijua kwa hisia zangu mwenyewe ndio kuuliza akajibu alishafanyiwa ivo utotoni babu yake ndio alimtoa bikra!! Story ni ndefu sana!!
Sema wakipatwa na hali hiyo wanapenda sana fanya ngono ilifika kipindi sitaki fanya nae ngono ndio anza lazimisha nimchezee kinembe tu napo nagoma maana alishaanza nifanya sex slave!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom