I am addicted to sex

I am addicted to sex

Status
Not open for further replies.
Mara nyingi wanawake waliolazimishwa/ingiliwa kwa nguvu wakati wa utotoni na Wanaume wazima ndo huwa na hayo matatizo, huwa wanakuwa high sex drive, lkn inatibika ni trauma, tafuta clinical psychologist atakusaidia, uwe mkweli na historia ya maisha yako.

Nilishawahi kuwa na demu kama hiyo, baada ya kuona kwamba alikuwa na high sex drive klk kawaida nikaanza kuongea naye pole pole aliponiamini akafunguka na kuniambia kilichomtokea utotoni, inasikitisha sana.
aisee mkuu 100%
hongera sana,evelyn fuata huu ushauri na kama yametokea haya pole sana inaumiza sana.
 
kwa afya bora unatakiwa kupata mzigo atleast mara tatu kwa wiki. Cha msingi weka ndani mzigo wa halali ili upate mara tatu kwa wiki. acha mzigo wa kuhemea mitaani.
 
wanawake kama nyie adimu kweli.....huumwi wala hujarogwa wewe....ni kwamba uko kamili dada....namuonea wivu mmeo....
 
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.

Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh

Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
unazungumzia wiki wakati mm nikipitisha siku mbili duu, nakuwa hoi,
 
Kiimani utakuwa na pepo,inabidi upate maombezi;kisayansi itakuwa ni vichocheo vya mwili vimekuzidi namna ya kukabiliana ni kuwaona wataalamu;lakini kama haikupi hasara we endelea tu kut...mbn maisha yenyewe ndio haya na raha ni muhimu pia.
 
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.

Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh

Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
Duh, mkuu pole sana, kama upo dar tuwe tunachekiana tukusaidie kuondoa stress!
 
Nikiwa dodoma nilikuwa napiga mashine kila siku....
Kuna kipindi hata kukimbia nashindwa, magoti yanaumaa ...

Acha kabisa, kwaheri dodoma!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom