I am addicted to Single Mothers

nimecheka kinoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwa ufupi tu mimba hakuna hapo.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mi mwenywe nmejikuta nacheka kwa nguvu
 
Hawezi kushika mimba jumatano mpaka jumamosi sio rahisi,relax endelea kutafakari sarakasi alizokuwa anaruka
 
Unaonaje ukimchukua kabisa awe mkeo mcheze match vizuri huku mkisaidiana kulea mtoto.
 
Unaonaje ukimchukua kabisa awe mkeo mcheze match vizuri huku mkisaidiana kulea mtoto.
Sarakasi na jitihada za kufa mtu kitandani zinatoa dalili kuwa Dada anahitaji kuchukuliwa jumla. Si ajabu jamaa atasingiziwa kupachika ujauzito siku si nyingi.
 
Single mother wengi walio wagawaji ovyo unakuta hawana hata mvuto.

:Nasema hivi wanangu hamuwezi kunyonya ziwa limelala kama ndala nikiwa hai.
Nitawatafutia mama ako na Nyonyo kubwa zimesimama [emoji16][emoji2955]
Nitahakikisha pia kuwa kama wewe [emoji23][emoji23]
 
Hii tabia ya mods kuunganisha nyuzi zangu huwa inanikera sana na cjw kwa nini??

Maana uzi, haujavuka mipaka na una maadili mema why waunganishe na mwingine.
 
Sasa ww unawatokea single mother wanakuzungusha then unakuja kujisifia hapa!!single mother wanatufuata wenyewe tunawalea fresh tu
 
Vijana tuache kuwananga kidogo hawa single mother zaidi ni kwamba tuwape ushirikiano wakutosha ata kwenye ile sekta ya Uchakataji,

Zero IQ nimekaa na kuwaza sana leo nimegundua kwamba hawa single mother tunawanyanyapaa leo kwa maneno makali ni ama mademu zetu au walikuwa mademu wa washkaji zetu,

Sisi wanaume wote ni mafriend hivyo ukimuona single mother basi ujue kuna mshikaji wetu mmoja hivi amefanya yake,

Tusiwaone kama ni watu flani hivi wenye makosa, mnajua hawa single mother ni watu wasio na makosa innocent kabisa, makosa yao ni madogo tu kuwaamini washkaji zetu bila kujua atma ya kesho yao,

Single mother siyo vicheche, malaya ama watu wasiofaa kama jamii inavyowachukulia,
Single mother ni watu wenye huruma sana kitendo cha kukubali kulea watoto wakiwa wenyewe bila uwapo wa baba ni huruma tosha,
Lasivyo wangekuwa na maamuzi zaidi ya kutoa au ata kuua kichanga,

Tuwapende single mother na ikibidi kuanzisha kampeni ya kuamasisha vijana kuoa single mother tu kwa sababu ni mademu wa washkaji zetu na sisi ndio washkaji wenyewe.



Cc Zero IQ.
 
Ukitaka kuishi vizuli na single mother mfanye awe best friend wako tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…