Mimi kuna jimama/ jibibi moja kwa sasa liko katika age za > 55yrs nami nina 34 kwa sasa, ilitokea akanizimikia nikiwa Chuoni mwaka 2007 (anaishi TEXAS - USA), nikapiga hesabu nikaona hapana,kama nipesa hata kwetu Bongo nitapata. Alitaka nikimaliza Chuo nisepe kwenda kwa Obama. Nikamwambia hapana lkn bado tunaendelea kama very close friends na anaomba mwanangu nije nimpeleke huko akae naye kwa sababu anam-regard kama mwanaye.
Mtu akikupenda siyo lazima uchakachue, mnaweza kufanya naye mambo mengine mengi tu kwa pamoja mkaishi kama ndugu!