I am Dating Older Women

I am Dating Older Women

date sana kaka
mimi nadate mtoto mdogo, like sio sana lakini nimemzidi sana...mapenz yetu ni so intresting n due to that we will b togther forever...
mi nakusupot ila naomba jitahidi sana usidate mtu wa umri wako its disaster
 
Usije ukadate umri wa mama yako mzazi, ni laana hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa. Ukitaka kujua ukweli huu soma kumbukumbu la torati 14 yote
 
date sana kaka
mimi nadate mtoto mdogo, like sio sana lakini nimemzidi sana...mapenz yetu ni so intresting n due to that we will b togther forever...
mi nakusupot ila naomba jitahidi sana usidate mtu wa umri wako its disaster
Wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
hakuna tofauti kubwa hapo ni kama miaka 9 tu nilifikiri angalau zaid ya 15 hapo naona kama mko sawa! ila hizo sifa zako am not sure if there are reliable!
 
yani wewe una jino moja mwenzio yote ila yote yameoza so hamna tofauti
 
Mimi kuna jimama/ jibibi moja kwa sasa liko katika age za > 55yrs nami nina 34 kwa sasa, ilitokea akanizimikia nikiwa Chuoni mwaka 2007 (anaishi TEXAS - USA), nikapiga hesabu nikaona hapana,kama nipesa hata kwetu Bongo nitapata. Alitaka nikimaliza Chuo nisepe kwenda kwa Obama. Nikamwambia hapana lkn bado tunaendelea kama very close friends na anaomba mwanangu nije nimpeleke huko akae naye kwa sababu anam-regard kama mwanaye.

Mtu akikupenda siyo lazima uchakachue, mnaweza kufanya naye mambo mengine mengi tu kwa pamoja mkaishi kama ndugu!
 
Back
Top Bottom