Domenia
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 462
- 23
Lol! Darling Na Domenia naye anakusarandia?
vipi ? amesha angukua kwangu...inakuaje una anza kujipendekeza....tulia tupo mapumziko kidogo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol! Darling Na Domenia naye anakusarandia?
Siri moja ambayo wantanzania wengi hatujaijua - hasa watanzania wasomi, ni kwamba kazi nyingi sana zinaonekana hazina maana, au kazi ambazo zinafanywa na kundi fulani hivi la watu ambalo ni duni.
Ukweli ni kwamba, hizi kazi zimekuwa duni na kuonekana hazina maana kwa sababu wasomi tumezikimbia na zinafanywa na watu wasio na elimu - na ndio maana zinaonekana duni.
Hivi ni msomi gani anafanya biashara ya mitumba? Ni wasomi wangapi wana maduka kariakoo?
Pindi tulipomaliza chuo, marafiki zangu wawili hao waliweka bayana kabisa kwamba hawana mpango na ajira - wao walisoma BCom. Wakaenda kariakoo na mtaji wa 10m, wakatafuta frame wakawa wanauza Tiles na vitu vidogo vidogo vya ujenzi.
Kwa sababu ya uwezo wao kielimu, walicomputerize mambo yao, and I was behind it as IT consultant. But I am telling you - it's only 1.5 years and their capital is over 90Mil. Hawa jamaa wanawazidi wenzao kwa sababu ya elimu - wana uwezo mkubwa wa kufanya internatinal business. So wana export Tiles kwenda land-locked contries kama Zambia, Rwanda, Msumbiji n.k.
Hivi ni wangapi wanajua kuwa wasomi is a fourth class hapa bongo - yaani tumepitwa na wafanyabiashara, wanasiasa na hata wasanii.
Wasomi wengi sisi tunafanya kazi kwenye ofisi nzuri, lakini mifukoni mwetu hali sio nzuri.
Wasio na elimu wanafanya kazi kwenye mazingira duni, lakini mifukoni mwao sio duni kama sisi.
Ukifuatilia wasomi wengi matajiri, basi unagundua kuwa kuna ufisadi nyuma ya mafanikio yao.
Elimu yetu ipo wapi?