I am future gay?

I am future gay?

Mambo vipi wana JF? Binaadamu tuna kutana na mambo mengi sana hapa duniani, moja lililonipata mwenzenu hata kuomba ushauri wenu ni hili. Sija wahi kujihusisha na mapenzi tangu nimezaliwa hadi leo nina umri wa miaka 21 lakini vijana wenzangu wakua wakinijadili sana eti kwa nini mshkaji hana demu? Au jongoo hapandi mtungi? Neno hili hua linanikera sana.lakini huwezi kumpenda msichana utakaekutana nae kwa muda wasiku moja tu,neno jongoo hapandi mtungi walili2mia hata baadhi ya warembo walionitongoza. Kwa kweli sio kama,jongoo hapandi mtungi! Anapanda mpaka ukuta hasa,lakini nimejiweka hivi cuz sitaki kuumizwa na mapenzi,muda niliojiwekea ukifika nitachagua ninaempenda nitafunga nae ndoa.si lazima niende wao wanavyotaka, kuna mmoja nilimpa history yangu akashtuka,nakudai kwamba angelikua kama mimi angeli enjoy sana. Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.

je unatumia njia gani kuzuia hisia zako za kufanya ngono? embu nisaidie kwa hilo ili na mie niweze kupunguza hizo hisia..
 
Kijana hiyo inaonesha ukomavu wako wa kifikra. Na hao wasikukatishe tamaa, mtafute umpendae kwa taratibu ndio ufunge nae ndoa na ndipo uanze hayo mambo. Nakusifu sana kwa hilo.

Hao vijana wengine wasikukatishe tamaa, zinaa si uhodari ni ujinga. Furaha ya tendo la ndoa ni kwenye ndoa, wasikukatishe tamaa. Na wala hauwi gay kwa hilo, Gay ni yule anaependa kufanya ngono na watu wa jinsia moja na yeye. Mungu akuepushe na laana hiyo.

We FF acha kumdanganya mwenzio uliwahi ona wapi, darasa la kwanza wanasomea ukubwani?
 
Dogo endelea na moyo huo lakini kuna hatari moja, pindi utakapooa most likely mkeo atakuwa ameshakutangulia amechakachua tayari so akikuboa kidogo unaweza ukawa una hasira za kupitiliza zisizo na msingi.
 
Endelea hivyo hivyo mpaka utakapo amua kuoa
all the best
 
Mambo vipi wana JF? Binaadamu tuna kutana na mambo mengi sana hapa duniani, moja lililonipata mwenzenu hata kuomba ushauri wenu ni hili. Sija wahi kujihusisha na mapenzi tangu nimezaliwa hadi leo nina umri wa miaka 21 lakini vijana wenzangu wakua wakinijadili sana eti kwa nini mshkaji hana demu? Au jongoo hapandi mtungi? Neno hili hua linanikera sana.lakini huwezi kumpenda msichana utakaekutana nae kwa muda wasiku moja tu,neno jongoo hapandi mtungi walili2mia hata baadhi ya warembo walionitongoza. Kwa kweli sio kama,jongoo hapandi mtungi! Anapanda mpaka ukuta hasa,lakini nimejiweka hivi cuz sitaki kuumizwa na mapenzi,muda niliojiwekea ukifika nitachagua ninaempenda nitafunga nae ndoa.si lazima niende wao wanavyotaka, kuna mmoja nilimpa history yangu akashtuka,nakudai kwamba angelikua kama mimi angeli enjoy sana. Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.
Hongeara kwa kuvumilia, ila Angalia zisihamie nyuma!
 
Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.

Fanya mpango uoe kijana.

Tena jitahidi uoe binti anayetoka sehemu za pwani.

Oa halafu ongeza sana kufanya maombi kwa dhati maana dunia ya leo si ile ya jana.
 
Upo ushahidi wa kisayansi kwamba mature human being akimaliza 56 days w/out ejaculation take anakua na "Minor mentality problm" mimi kwa thread yako inanifanya nianze kuamini ni kweli 56 days bila ya uchizi unavinjari ! Thread yako inathibitisha UNAUMWA.
 
Ww Kloro naona unanitafuta.......

Umethibitishaje kama mm ni mtaalamu wa hayo mambo...

Walifikiri Boflo umelala , ndiyo wakawa wanakuteta! Kumbe u'macho , naunga mkono hoja kajuaje kama u-mtaalamu ? Kama nae si mtaalamument ?
 
Umefanya la maana ila woga wangu siku ya kuhitaji lazma uwe domo zege au utafute mtaalamu wa kukuwekea mezani.
 
Mambo vipi wana JF? Binaadamu tuna kutana na mambo mengi sana hapa duniani, moja lililonipata mwenzenu hata kuomba ushauri wenu ni hili. Sija wahi kujihusisha na mapenzi tangu nimezaliwa hadi leo nina umri wa miaka 21 lakini vijana wenzangu wakua wakinijadili sana eti kwa nini mshkaji hana demu? Au jongoo hapandi mtungi? Neno hili hua linanikera sana.lakini huwezi kumpenda msichana utakaekutana nae kwa muda wasiku moja tu,neno jongoo hapandi mtungi walili2mia hata baadhi ya warembo walionitongoza. Kwa kweli sio kama,jongoo hapandi mtungi! Anapanda mpaka ukuta hasa,lakini nimejiweka hivi cuz sitaki kuumizwa na mapenzi,muda niliojiwekea ukifika nitachagua ninaempenda nitafunga nae ndoa.si lazima niende wao wanavyotaka, kuna mmoja nilimpa history yangu akashtuka,nakudai kwamba angelikua kama mimi angeli enjoy sana. Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.

No huwezi kuwa gay kwa kujikontrol ki ukweli natamani nigekuwa kama wewe.
 
Miaka 21 we ni bado bwa mdogo sana!!
achana na malavidavi, kama bado unasoma basi kazana kusoma kwani u gay wa mtu uko ndani ya mtu !!
 
Binadamu kwa unafiki
eti hongera saana
eti endelea hivyo hivyo

while angekuwa ni mtoto wenu mnengukuwa mnajiuliza hivyo hivyo

kuwa na mpenzi sio lazima u sex nae

ushauri wangu tafuta girlfriend haraka

hata kama hutaki ku sex kwa sasa
kuna faida nyingi za kujifunza kuhusu mahusiano ya jinsia tofauti....

nyingi mno......

ungekuwa mwanangu ningewaita shangazi zako,wajomba zako tujadli......
ikibidi upewe binamu yako msichana akuchangamshe.......lol
 
@The Boss
Duh, kweli weye mlezi wa watoto.:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
Look well after yourself...haya mambo hayana kuwahi wala kuchelewa. Ila yanataka upate mtu utakayeendana naye.
 
@The Boss
Duh, kweli weye mlezi wa watoto.:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

soma tena
nimesema sio lazima ku sex
mimi nimesoma shule mtu siku ya birthday yako unafanyiwa sherehe
unakaa high table na ni lazima awepo mchumba wako pembeni
hata kama watu walikuwa hawamjui siku hiyo watamjua

ndo maana nimesema kuna faida nyingi mno
ukifika 17 na kuendelea iwepo hata 'mchumba mchumba'

hivi unadhani ni coincidence gays wengi walisoma 'all boys scholol'?????????
jiulize hilo......
 
Ngoja niendelee kutakari huu uleaji
Sijui nikawatafutie wangu!!!

Ila sema baadhi
Wavulana wakichelewa kuanza
wanakuwa viwembe hadi unatamani kumpeleka hospitali

Back
Top Bottom