I am in love with my brother

I am in love with my brother

There is a handsome boy more than your brother who is still waiting for you, just have passion one day YES and will forget all the pain.
 
Moyo na hisia za binadamu very complicated huwezi kujua ni nn kinamtesa MTU kwa wakati gani ?
Hisia za namna hiyo zinatokea lakini inaonyesha umeruhusu mawazo hayo MPE nafasi mpenzi uliyenae kuiondoa hiyo hali.
 
Ni ainaojawapo ya mapepo wachafu wanaotusumbua wanadamu duniani, likemewe likuachie
 
Malezi yenu yana shida mahala...huwezi mtamani kaka yako ukilelewa vizuri na ukiwa na hofu ya Mungu
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don't even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
Nipe namba yako wengi nimewasaidia Wa matatizo kama yako, please believe me!!!?
 
It's just a psychological thing that u can do away with it either by trying to work it by yourself or even with the same brother you have feelings with....don't be lead with ua feelings but what is right.
There a friend of mine who fall into that kishwawishi and she ended up sleeping with her three brothers among one mdogo wake...once u start it you will never come out of it.
 
bro wa aina gani huyu?
wa hiari,damu au binamu?
 
Pole Sana you can't even become matured when you can't ignore some negativity that hold you back
 
Back
Top Bottom