I am in love...

I am in love...

Tulianza kupendana na handsome boy wangu kabla hatukakutana, tulikua tayari ni bestfriends, alihisi nilichohisi mimi,

Siku ya kwanza tunakutana(6 November,2019) nilikua so excited, nilikuwepo katika safari yake yote hadi anafika kwenye mikono yangu, alilia kwa furaha aliponiona, nilimkumbatia na makiss tele tele,

Until then, he is a man i fall in love with, my hero, my one and only, i'd sell the world for him (hapa itabidi mtafute pa kuishi, lol).
 
Good to heat that
 
Back
Top Bottom