Ni sawa kabisa watanzania tujifunze partnership ndo maana hatuendelei tunaishia kukopa kwa riba kubwa kwa vibiashara vidogo tusivyokuwa na uzoefu. Hapa kama mtu hana idea hana muda sana wa kusimamia biashara na pia hana capital kubwa ni vizuri ukaweka hapa ukijifunza baada ya muda ukahama au mkatanuka na kila mtu akasimamia branch Fulani kwa jina lile au kubadili lakini kwa kutumia ujuzi aliopata hapa.Mkuu nashukuru, umempa jibu nzuri, Equity partner ni tofauti na any lender, faida mnagawana kulingana na equity contribution yenu, au mtakavyokubaliana. Ila Lender anataka pesa yake + Interest regardless una faida au hauna. and in case of any failure in Business kwa upande wa mkopo ni lazima wachukue nyumba yako au dhamana ingine ulioweka.Alafu partner anaweza kudumu kwa muda fulani akirudisha pesa yake na faida anaweza kuondoka akakuuzia hisa zake ukaendelea peke yako