I am looking for a Husband

Nipo siriasi naleta kwako. Hamna kubadili gear
 
Mimi natafuta jimama la kuishi nalo nitampa raha zote awe ananihonga mahera.
 
Mi nina kazi fresh tu yaani niko vizuri.....tatizo ni na kibamia vipi tutawezana na wewe mbona unaandika shughuli yako
 
Usitoe mashatri magumj Kz ni kz hapa kz tu hora mkono up de kinywani
 
Mimi natafuta jimama la kuishi nalo nitampa raha zote awe ananihonga mahera.

Dogo tafuta hela mapema iwezekanavyo ili ufaidi mema ya hii nchi kama sisi wakubwa zako! Hizo ndoto za asubuhi za kutunisha boksa huku ukiyawazia majimama yenye hela na maumbo ya kutatanisha, zitakuchelewesha sana kuufikia uchumi wa vi-wonder. Shauri zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…