I am Looking for Friends Who speak English

Kama wewe ni "ke" utatoa papuchi tukiwa tuna discuss kwa ngeli?
 
Tunakoelekea sio kuzuri. Kuna watu wanadhani watakua wapinzani daima. Hivi kosa la rais kwa tukio la juzi ni lipi mpaka ataukanwe? kuzuia maandamano? ni utawala gani utakaoruhusu maandamano ambayo hata taarifa ya saa 24 haijatolewa? kuna watu wanadhani wanaishi Ulaya wakati wako Tanzania. Huko Marekani kwenyewe tumeona mala ngapi watu wakiuwawa na polisi tena kweupeeee. hebu huyo mange amtukane trump weusi wakiuawa na polisi kama ataendelea kukaaa marekani. Kuzuia maandamano ilikua sahihi kisheria ila kutumia silaha ya moto ni makosa kabisa kisheria. Sasa sijui mnataka rais angeenda yeye maana polisi hawaminiki wanaweza kutumia silaha za moto? Hivi mkishinda uchaguzi mtaongoza nchi gani ya bila sheria na taratibu? Napenda watu wanajua historia duniani, haya mambo huwa yanabackfire vidhuri. Lowasa na sumaye mashahidi, walipokua ccm walikua wanahusika kukandamiza upinzani leo wako upinzani wanakandamizwa. Hiyo nchi ya holela hakuna atakayeweza kuiongoza. Hebu kosa la polisi liwe la polisi na la rais liwe la rais. Tusijitoe ufahamu. Labda kama kuna watu watakua wapinzani daima.
 
Umekosea njia mzee...[emoji20][emoji20][emoji20]
 
Umekosea njia mzee...[emoji20][emoji20][emoji20]
Ujumbe umefika, kama mnadhani manishi kisiwani sawa. Ila angalia nchi zote ambazo upinzani ulitumia holela kuingia madarakani kama wao hawajakumbwa na hiyo holela. Unaijua historia ya Madagascar? Tunisia je? Misri? Ukraine? Georgia? Parkistani? Kama hujui mifano hata mmoja hapo huna haja ya kuendelea kujibu, rudi shule
 
It seems you have abandoned your own thread okay have a good time!!
Mr. Skull
 
Wajameni assist me Ras Simba location....
 
I can see You're in an awesomely dandy level of learning, (Though some errata are somewhat dreadful).

And Tis solely a few of you who open manifest come forth beseeching a pull up.
I unfeignedly bestow you a shower of compliments for a such bravery Endeavour.

You may top the shit up by Working on words syntax, morphology and seminatics by taking some glances on corresponding books besides.

I'm sorry I don't fit in the Qualifications.
See you at the top.
 
sawa
 
WTF!!!!???
Does this piece of shit relate to what we are discussing here!!?

Go find the right place to put your shit!!

SOB [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…