Loreen Senior Member Joined Dec 24, 2011 Posts 110 Reaction score 32 Jan 23, 2012 #1 habarini wana jf, kuna m2 anatafuta part time ya accountant arusha ! mwenye infor zozote anijulishe assanteni.
habarini wana jf, kuna m2 anatafuta part time ya accountant arusha ! mwenye infor zozote anijulishe assanteni.
Mtoboasiri JF-Expert Member Joined Aug 6, 2009 Posts 5,101 Reaction score 1,952 Jan 23, 2012 #2 Loreen said: habarini wana jf, kuna m2 anatafuta part time ya accountant arusha ! mwenye infor zozote anijulishe assanteni. Click to expand... Anatafuta part-time accountant au kazi ya accountancy lakini part-time?
Loreen said: habarini wana jf, kuna m2 anatafuta part time ya accountant arusha ! mwenye infor zozote anijulishe assanteni. Click to expand... Anatafuta part-time accountant au kazi ya accountancy lakini part-time?
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 20,654 Reaction score 35,887 Jan 23, 2012 #3 Kumbe na wewe umeona halafu utakuta anayetafuta hiyo kazi ni yeye mwenyewe ha ha ha ha ha. Mtoboasiri said: Anatafuta part-time accountant au kazi ya accountancy lakini part-time? Click to expand...
Kumbe na wewe umeona halafu utakuta anayetafuta hiyo kazi ni yeye mwenyewe ha ha ha ha ha. Mtoboasiri said: Anatafuta part-time accountant au kazi ya accountancy lakini part-time? Click to expand...
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 5,771 Reaction score 17,849 Jan 24, 2012 #4 Unasema?
SUPERUSER JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 960 Reaction score 307 Jan 24, 2012 #5 kama gpa inasoma peleka cv na trancript kwenye auditing firms utapata...mi nilipata and now nafanya in piece rate system kila portion unayomaliza they pay u
kama gpa inasoma peleka cv na trancript kwenye auditing firms utapata...mi nilipata and now nafanya in piece rate system kila portion unayomaliza they pay u
Loreen Senior Member Joined Dec 24, 2011 Posts 110 Reaction score 32 Jan 24, 2012 Thread starter #6 auditing firm kama hipi?
P pilu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2011 Posts 488 Reaction score 43 Jan 25, 2012 #7 Loreen said: auditing firm kama hipi? Click to expand... ebu sema bana ka unaitaji wewe, tukupe maelezo yakutosha!
Loreen said: auditing firm kama hipi? Click to expand... ebu sema bana ka unaitaji wewe, tukupe maelezo yakutosha!
M MZEE SERENGETI JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 214 Reaction score 10 Jan 26, 2012 #8 huja weka sawa sentensi yako.
Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,703 Reaction score 3,658 Jan 26, 2012 #9 Dsm Ungepata kigamboni kuna mtu kama anahitajika kufanya stock cheking! Dukani
K KIMALIKE Member Joined Jan 20, 2012 Posts 46 Reaction score 4 Jan 26, 2012 #10 Kuna mtu anayo lakini full time!!