I am Looking for Part-time accounting Job.

I am Looking for Part-time accounting Job.

Loreen

Senior Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
110
Reaction score
32
habarini wana jf, kuna m2 anatafuta part time ya accountant arusha ! mwenye infor zozote anijulishe assanteni.
 
habarini wana jf, kuna m2 anatafuta part time ya accountant arusha ! mwenye infor zozote anijulishe assanteni.

Anatafuta part-time accountant au kazi ya accountancy lakini part-time?
 
kama gpa inasoma peleka cv na trancript kwenye auditing firms utapata...mi nilipata and now nafanya in piece rate system kila portion unayomaliza they pay u
 
Dsm Ungepata kigamboni kuna mtu kama anahitajika kufanya stock cheking! Dukani
 
Back
Top Bottom