I am new here

Fukuto

Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
8
Reaction score
0
Mimi ni muumini mkubwa na wa muda mrefu wa Jamii Forums. Nadiriki kusema kwamba kama mtu unataka kufikirisha ubongo wako kisiasa hapa ndiyo mahala pake. Naomba sasa mniruhusu nami niingie ndani ya mjengo ili nipate nafasi ya kuchangia.
 
Karibu Fukuto nataraji michango yako nayo itakuwa na fukuto
 
Mimi ni muumini mkubwa na wa muda mrefu wa Jamii Forums. Nadiriki kusema kwamba kama mtu unataka kufikirisha ubongo wako kisiasa hapa ndiyo mahala pake. Naomba sasa mniruhusu nami niingie ndani ya mjengo ili nipate nafasi ya kuchangia.
kuna mambo mengi sana hapa sio siasa tu, karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…