Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mambo mengi sana hapa sio siasa tu, karibu sanaMimi ni muumini mkubwa na wa muda mrefu wa Jamii Forums. Nadiriki kusema kwamba kama mtu unataka kufikirisha ubongo wako kisiasa hapa ndiyo mahala pake. Naomba sasa mniruhusu nami niingie ndani ya mjengo ili nipate nafasi ya kuchangia.