I am pregnant with Twins

I am pregnant with Twins

Sasha Fierce

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
361
Reaction score
5
Nilikuwa nataka ku-share good news with you family kuwa i am pregnant with twins.Nipo 4 month na half pregnant na jana nilikwenda kwa ultra sound na results ni kwamba ninapata boys.

I am doing fine and hope all goes well.Nina 5 more month to go.
Its a blessing kwa kweli na nina mshukuru mungu kwa yote.

I need your prayer kwa kweli.
asenteni.
 
Last edited:
Hello sasha, hongera kwa kupata mimba na kutegemea mapacha hao. Mungu akulinde, we pray 4 you sasha. Just have to relax, make a little exercise and take appropriate food for your pregnant. Cheers sasha!!
 
Kila la kheri on the safari....hongera.
 
Hongera sana dada. Nakushauri uzingatie ushauri wa watalaam wa afya (Gynaecologist na Nurse Midwife wako) ikiwa pamoja na kwenda kliniki kama ulivyoshauriwa na kwenda wakati mwingine wowote ukiona dalili inayokuwa kinyume cha kawaida. Upande wa nyumbani kama kawaida zingatia kula mlo ulio kamili, hasa ulio na virutubisho na kunywa maji kwa wingi. Na mara ukijifungua zingatia uzazi wa mpango, kwapeleka mapcha kliniki kama ulitakavyoshauriwa na kwenda wakati mwingine wowote ukiona dalili inayokuwa kinyume cha kawaida. Uwanyonyeshe mapacha hao maziwa yako peke kwa miezi sita kabla hujaanza kuwapa chakula kingine. Baada ya miezi sita tangu kuzaliwa, hakikisha wanapata mlo ulio kamili, hasa ulio na virutubisho. Nakutakia kila jema wewe na mzazi mwenzio.
 
Mungu mweza wa yote akulinde, akupe nguvu,akupe uvumilivu mpaka ujifungue na utuletee matwin ambao natabiri moja atakuwa mwanasoka hodari na mwingine atakuwa daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama
 
Hongera ndugu yangu
Kumbuka kulea mimba si kazi..kazi ni kulea wana!
Motherhood is an enjoyable experience so enjoy!
 
Hongera sana Sasha. Pregnancy is one of the joys of being a woman. You a blessed with knowing the children intimately nine months before anyone else. My suggestion for names for the two boys is Mwana and Falsafa hahaha. Again congrats I know you will make a good mother.
 
....If not JAMII and FORUM!🙂
 
Hongera sana Sasha. Pregnancy is one of the joys of being a woman. You a blessed with knowing the children intimately nine months before anyone else. My suggestion for names for the two boys is Mwana and Falsafa hahaha. Again congrats I know you will make a good mother.

Ngabu na Ngabu sounds good
 
Thank youy all (woman of substance,mamamdogo,reddevil,Dina,Mwanafalsafa, msolwa and all).

WOS na mama dogo thank you for advice since ni mtoto wangu wa kwanza i guess itakuwa ngumu kidogo.Ni kweli mtoto is a joy nimeona mfano kwa marafiki zangu jinsi watoto walivyo badilisha maisha yao.Hata kama upo stressed mtoto wako atakuliwaza tuu.Asante sana naona nina safari ndefu kidogo.

Mwanafalsafa i will take that into considertion (baby names) ila bado sijaanza kufikiria majina i have few in mind.
 
Hongera mpenzi wangu! Mungu akujalie katika wakati huu wa pregnant na umalize salama hiyo safari.
 
You remind me Buchi Emechata in her "The Joy of Motherhood".
Kila la kheri.
 
Sasha nakuonea wivu mwaya ila hiongera na MUNGU atakujalia utamaliza salama safari yako.
 
Back
Top Bottom