I am pregnant with Twins

I am pregnant with Twins

Sasha nakuonea wivu mwaya ila hiongera na MUNGU atakujalia utamaliza salama safari yako.

Thank you mwanajamiione,mwenzio wala nilikuwa sitegemei kupata ujauzito leo au kesho lakini nadhani ni mipango ya mungu tuu.
 
hongera sana,
huku mimi nimepata ka kike , blanca jina lake, my wife amekaleta sayari hii ya tatu juzi.
ntakuja nako huko nyumbani nikimaliza masomo.
 
what is the difference btn pregnant and pregnancy?
pregnancy-ni ile hali ya kuwa na mimba(kuwa pregnant),neno linaweza kuwa kivumishi,kwasababu linaelezea nomino.

Pregnant ni nomino tu ya mtingo ule ule(unique nouns)
 
Kuna swali nataka kuuliza a while back watu walikuwa wanaongea sasa sijui kama ni kasumba tuu ile.Kuwa eti ukiwa na mimba alafu ukaja kumpenda sana mtu (it doesn't matter mwanamke/mwanaume) wanasema kuwa ukija kujifungua ni kwamba posibility ni kubwa yule mtoto kufanana na yule mtu uliyempenda sana wakati wa mimba (miezi yote 9).
Ni kweli au ni uzushi?.maana kama ndiyo hivyo nampenda sana Brad pit (ina maana twins wangu watafanana naye?).
 
hongera sana,
huku mimi nimepata ka kike , blanca jina lake, my wife amekaleta sayari hii ya tatu juzi.
ntakuja nako huko nyumbani nikimaliza masomo.

Wow hongera sana Edson.Miye nafikiria kumpa mmoja jina la my late dad (Daniel).
 
Kuna swali nataka kuuliza a while back watu walikuwa wanaongea sasa sijui kama ni kasumba tuu ile.Kuwa eti ukiwa na mimba alafu ukaja kumpenda sana mtu (it doesn't matter mwanamke/mwanaume) wanasema kuwa ukija kujifungua ni kwamba posibility ni kubwa yule mtoto kufanana na yule mtu uliyempenda sana wakati wa mimba (miezi yote 9).
Ni kweli au ni uzushi?.maana kama ndiyo hivyo nampenda sana Brad pit (ina maana twins wangu watafanana naye?).

hahahahahahah!
Iawezekana kweli?ithout any 'biological reason?'
 
Sasha fierce, hongera sana ila usiwaite wanao Kobe na Bryant au Knowles na Kobe...(wink)...!!
 
tsk tsk tsk tsk that is good one! you made me LMFAO tsk tsk tsk
hayo majina yatakuwa middle name lazima nirepresent ila mmoja atakuwa Kobe mwingine sean carter (Jayz)
 
Wakati huu wa pregnant au wakati huu wa pregnancy?
Pregnant.... carrying developing offspring within the body.
Pregnancy.....the condition of being pregnant. Mjuaji wa lugha kosa langu liko wapi hapo?
 
Pregant=noun
Pregnancy=adjective
 
tsk tsk tsk tsk that is good one! you made me LMFAO tsk tsk tsk
hayo majina yatakuwa middle name lazima nirepresent ila mmoja atakuwa Kobe mwingine sean carter (Jayz)

Nimefikiria hivi, Shawn Carter Ngwilulupi na Kobe Bryant Ngwilulupi assuming baba yao ni mbantu na ana majina ya kibantu!!
 
Hongera sana Sasha. You are lack!! At 4 months pregnancy waweza tambua sex ya mtoto through ultrasound??? Sina uzoefu kwa hili, pengiine Dr. wa JF atusaidie.
 
Huenda amefanya Amniocentesis
 
Kuna swali nataka kuuliza a while back watu walikuwa wanaongea sasa sijui kama ni kasumba tuu ile.Kuwa eti ukiwa na mimba alafu ukaja kumpenda sana mtu (it doesn't matter mwanamke/mwanaume) wanasema kuwa ukija kujifungua ni kwamba posibility ni kubwa yule mtoto kufanana na yule mtu uliyempenda sana wakati wa mimba (miezi yote 9).
Ni kweli au ni uzushi?.maana kama ndiyo hivyo nampenda sana Brad pit (ina maana twins wangu watafanana naye?).

Hizo ni Myths tu za wakati wa mimba.Ingekuwa kweli basi mbona ingekuwa kazi!
 
Hongera sana Sasha. You are lack!! At 4 months pregnancy waweza tambua sex ya mtoto through ultrasound??? Sina uzoefu kwa hili, pengiine Dr. wa JF atusaidie.

It is possible it depends on position of a baby and clear shot at private area.
 
Back
Top Bottom