I am pregnant with Twins

I am pregnant with Twins

Vipi unaona wivu? wewe huna? nicheki kwenye PM labda nnaweza kukusaidia

....oyaa mkuu, unauhakika huyo ni mwanadada kwa jinsia?!
....msije anza kutuletea mambo ya akina Thomas Beatie bongo bana.
 
Thank you,stank you,thank you all you are far to kind (line ya Jay).
 
Sasha.

I truly, truly envy you. All the best...
 
hongera sana mpendwa! umenitamanisha twins, goodluck.
 
Nilikuwa nataka ku-share good news with you family kuwa i am pregnant with twins.Nipo 4 month na half pregnant na jana nilikwenda kwa ultra sound na results ni kwamba ninapata boys.

I am doing fine and hope all goes well.Nina 5 more month to go.
Its a blessing kwa kweli na nina mshukuru mungu kwa yote.

I need your prayer kwa kweli.
asenteni.

Hongera sana SF. Mungu amekujalia bahati kubwa sana ya kupata mapacha. Kama hujaanza kutumia Folic acid na prenatal vitamins basi ongea na daktari wako ili uanze mara moja maana huwa vinasaidia kuhakikisha watoto wanakuwa bila matatizo na kuzaliwa na afya njema. Na wewe mwenyewe inabidi ujitunze kwa kula healthy foods na kupata mapumziko ya kutosha. No beers or any alcoholic beverages please! ha ha ha ha 🙂

Once again congratulations and all the best.
 
Hongera sana Sasha. Nakuombea kwa MUNGU hujifungue salama
 
Back
Top Bottom