Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
Kwa hilo la mwisho kabisa ambalo unasema haujafanya,TUTAJUAJE/TUTAHAKIKISHAJE ILI NASI TUKUPONGEZE? Unao ushahidi wowote?
Hongera....[/QU
Sifa moja ya mwanamke ni kujitambua kua ni mwanamke na kuhakikisha ni mwanamke wa kweli.... Hongera dear... Mungu azidi kukubairki.[/QU
Hongera sana,
Aisee isije ikawa wewe ndo wife wangu? Ana sifa zote ulizozitaja hapo.
Hongera sana,
Aisee isije ikawa wewe ndo wife wangu? Ana sifa zote ulizozitaja hapo.
do you believe her???lol......