*.~~I am proud of myself~~,*

*.~~I am proud of myself~~,*

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
6,781
Reaction score
1,647
Mimi km mwanamke wa Kitanzania KWA ZAID YA MIAKA 10 SIJATUMIA KILEVI AINA YYT, SIJAVUTA SIGARA,BANGI WL KUTUMIA AINA YYT YA DAWA ZA KULEVYA, PIA KWA MM NI MWAMINIFU SN ZAID YA MIAKA 10 SIJAWAHI KUFANYA UZINZI (kumsalitu mume wangu) KWAKWELI NASTAIL KUJIPONGEZA.
 
Kwa hilo la mwisho kabisa ambalo unasema haujafanya,TUTAJUAJE/TUTAHAKIKISHAJE ILI NASI TUKUPONGEZE? Unao ushahidi wowote?
 
hongera.wale wote wanaopenda kusema...asilimia 90 ya hivi na vile
wamejifunza kitu hapa....if its true
 
no sijatumia karolite wl mkorogo wa aina yyt nina rangi ya asili niliorithi kwa wazazi wangu na umbo la asili la kibantu.
 
Mi sijawahi kuona mtu anajisifia mwenyewe.
 
hongera angel ni aibu sana mwanamke ameolewa anaenda kufanya upuuzu nje unaonyesha ni jinsi gani ulivo na busara kwa ilo big up sis
 
Labda atakuwa wa kwako,
wangu ana miaka 25 hajawahi kugusa hivyo alivyosema sofia hapo. Nini kumi bana!
Hongera sana,

Aisee isije ikawa wewe ndo wife wangu? Ana sifa zote ulizozitaja hapo.
 
Sasa mbona wenye tabia usizozifuata ndiyo wanaoongoza kwa kukupongeza?
 
Back
Top Bottom