*.~~I am proud of myself~~,*

Hongeara kwa miaka kumi ya ndoa....hayo mengine mwambie mmeo.
 
niwe mkweli kabisa nasita kukupongeza na maadamu umejipongeza mwenyewe, sidhani kama ulihitaji tukupongeze....maana sijui nikupongeze kwa lipi hasa la AJABU.....lol
 
Jamani kusema tu hongera mwaona itwa-cost??? Khaa! Hebu muacheni Angel with her "angel like behavior" acheni wivu....lol


wivu Sunna wanasemaga babe....so let it be.....lol
 
Shukrani sana bebii
hongera angel ni aibu sana mwanamke ameolewa anaenda kufanya upuuzu nje unaonyesha ni jinsi gani ulivo na busara kwa ilo big up sis[/QU
 
Miaka kumi tu? Michache sana ila hongera endelea hvyo hvyo.
 
Hongera Sana, Uendelee hivyo hivyo maana ushetani ni uamuzi wa m2 tu hivyo ni wewe mwenyewe ndie muamuzi.
 
Hizo sifa umejipa mwenyewe!!

Ungesubiri ufe ndo sisi tukupe bana.
 
eeh jamani hongera ila hujapishana na mimi hata kidogo kumbe na mimi nahitaji pongezi.
 
mama angel msoffe kaanzisha....kama kuna wengine wajitokeze!
 
no sijatumia karolite wl mkorogo wa aina yyt nina rangi ya asili niliorithi kwa wazazi wangu na umbo la asili la kibantu.
kwa sababu huna avater tuwekee portrait yako ila ufunike kichwa ili tu-prove kuwa una rangi ya asili niliorithi kwa wazazi wangu na umbo la asili la kibantu.
 
Kila la kheri dada 'keep it up', na MUNGU ataendelea kukutunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…