*.~~I am proud of myself~~,*

*.~~I am proud of myself~~,*

Hongeara kwa miaka kumi ya ndoa....hayo mengine mwambie mmeo.
 
niwe mkweli kabisa nasita kukupongeza na maadamu umejipongeza mwenyewe, sidhani kama ulihitaji tukupongeze....maana sijui nikupongeze kwa lipi hasa la AJABU.....lol
 
Miaka kumi tu? Michache sana ila hongera endelea hvyo hvyo.
 
Hongera Sana, Uendelee hivyo hivyo maana ushetani ni uamuzi wa m2 tu hivyo ni wewe mwenyewe ndie muamuzi.
 
Hizo sifa umejipa mwenyewe!!

Ungesubiri ufe ndo sisi tukupe bana.
 
Mimi km mwanamke wa Kitanzania KWA ZAID YA MIAKA 10 SIJATUMIA KILEVI AINA YYT, SIJAVUTA SIGARA,BANGI WL KUTUMIA AINA YYT YA DAWA ZA KULEVYA, PIA KWA MM NI MWAMINIFU SN ZAID YA MIAKA 10 SIJAWAHI KUFANYA UZINZI (kumsalitu mume wangu) KWAKWELI NASTAIL KUJIPONGEZA.
eeh jamani hongera ila hujapishana na mimi hata kidogo kumbe na mimi nahitaji pongezi.
 
mama angel msoffe kaanzisha....kama kuna wengine wajitokeze!
 
no sijatumia karolite wl mkorogo wa aina yyt nina rangi ya asili niliorithi kwa wazazi wangu na umbo la asili la kibantu.
kwa sababu huna avater tuwekee portrait yako ila ufunike kichwa ili tu-prove kuwa una rangi ya asili niliorithi kwa wazazi wangu na umbo la asili la kibantu.
 
Kila la kheri dada 'keep it up', na MUNGU ataendelea kukutunza.
 
Back
Top Bottom