Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya naona mambo yamekuwa mambo, cupcakes zimetotoa half cakes au donats......
sasa tuna Mas na Ha..ri, NEE and mzee wa yuuuuuuuuuuuuuuuuuuu...
Mirror mirror on the wall who has the meanest swagger of them all?
Hahahahahaha ama kweli kuna mijitu mibwege sana ktk hii dunia...unaweza kuta unaona Kelly01 ni shemeji yako kweli hahahahaha!!! Acha ushamba, toka uchangie vile vidollar kumi basi unaona JF kama yako eeeeeh...grow up!! Unakasirika na kumaindi watu na mambo ya mtandaoni!? kaaaaaaazi kweli....LOL.
Tuombe mungu.......Hahahahahaha ama kweli kuna mijitu mibwege sana ktk hii dunia...unaweza kuta unaona Kelly01 ni shemeji yako kweli hahahahaha!!! Acha ushamba, toka uchangie vile vidollar kumi basi unaona JF kama yako eeeeeh...grow up!! Unakasirika na kumaindi watu na mambo ya mtandaoni!? kaaaaaaazi kweli....LOL.
Mbona peace tu bibie.....omba mungu lakiniYNIM...Please msianze kukwaruzana bwana....lets be friends please please i beg you..msitukanane na masanilo.
Tuombe mungu.......
Mbona peace tu bibie.....omba mungu lakini
ndio vizuri.....JF tunakubali kutokukubaliana......wasipokubaliana ndio kukomaa kwa mijadala....No hakuna peaCE HAPO maana shemji yangu akija na yeye atatoa bombastic lake...lets ve cival!...
ndio vizuri.....JF tunakubali kutokukubaliana......wasipokubaliana ndio kukomaa kwa mijadala....
Mirror mirror on the wall who has the meanest swagger of them all?
Mkuu na wewe tena unaniua vivi hivi......nilijua utanipa tafu za kiborn town....hahahaha imenichekesha sana.....tatizo mkoa!!
Icadon, naona ulikopy bango la GT... lol
Masa inabidi alisome na kuchunguza kama liko limewekwa kwenye ka-mlingoti kake lenyewe au nani amesimama nalo barabari ... 🙂
Hehe, jamaa alispray paint chini ya neno STOP kwenye stop sign ya mtaa mmoja Seattle.
Kuna video na compress hapa naona ishaniboa sasa maana ni 4 gigs nataka kuiweka zshare.
Mwambie cha kulialia kama demu Masanilo akupige tafu.....LOL
Mkuu na wewe tena unaniua vivi hivi......nilijua utanipa tafu za kiborn town....
..mkuu, si uivunje vunje kwanza.. ili watakaonyonya waka re-compile wenyewe... max mb upload za zshare ni ngapi per file?
..pls tupatie link ukifanikisha.
Actually not, wakati jamaa anaongea $hyt 'bout me ulikuwa kimya na hukumwambia asi-stop.....uaga sipendi hizo fake one sided diplomacy......nitaendelea kum-hit kadri nipatavyo nafsi!! Sorry...
Well, naweza kuirender as a FLV(flash video) which will come to a few 100 mb. Sure thing, after all ni ya Secret Service.
Naona Neemah kaenda kulala sasa.