when you're not happy in a relationship that's what normally happens..anaweza akaja mtu wa nje akakupa attention kidogo tayari ushaingia line...it happens alot..kama alikua anaku neglect na ulishamwambia hakubadilika then sio kosa lako tena hapo ashukuru it was a just a kiss na ulikubali alivyookuliza maana yangeweza kua zaidi ya hayo..
yeah..if you thought honesty is the best policy you thought wrong.yamenitokea puani jamani.
so i kissed another guy and to God i swear it meant nothing at all. i was feeling neglected, told him about it and he wouldnt take me serious.
am not saying that what i did was ok..infanct i am apalled! sikufikiria kumwambia at first-nilifagilia vumbi chini ya carpet but i couldnt live with myself (plus he kinda heard about it-ouch) so when he asked i was scared to admit it but finally i thought it better to tell the truth.
so i come clean and nikapigwa kibuti cha pua..so much for honesty..
so am on the hunt gain..with a lesson at hand-ukubwa jaa!
hahahh...#humbled
i know i should the perfect person and say it is the best policy-but am hurting now!niulize after after some days/weeks basi
tatizo langu huwa nikisom thread jamii ya hizi huwa napatwa na maswali kibao kwa mleta mada
1. mwenza wako ulikuwa unampenda na kumthamini?
2. ni mara ngapi unakutana na huyo jamaa ? je kila ukikutana nae mnakiss?
3. mahusiano yako na huyo jamaa yakoje?
4. wakati unafanya tendo hili je ulikuwa umeondokewa na hali ya kibinadamu(diminished responsibility) au kulikuwa na chembechembe za wendawazimu (insanity) kiasi cha kumkwaza mwenzako?
5. kama ni rafiki yako wa kawaida na hujawahi kuwa na mahusianao nae wala kumfikiria kuwa nae je una marafiki wangapi (kama wapo) ambao umewahi kukiss nao? ni huyo tu mmoja?
6. chukulia mfano ungekuwa ni wewe na bf(x) akafanya hivyo ungejisikiaje?
7. hapo ulipo na kwa kitendo hicho unahisi kuidhulumu nafsi ? ( maana ndege mnana kapaa)
8. ili iwe bahati mbaya na kwamba hukudhamilia bali ilitokea tu kiasi cha kumfanya mwenza wako akae juu ya dari kwenye kona kabisa.je kipi kilipelekea tukio hilo kutokea
9. do know the meaning of being '' honest''?
10. mahusiano ako na bf (x) yalikuwaje kabla ya kuachana?
and for a couple of drinks and an evening walk as well..i like!