Ngoa nrudi zangu chit chat nkabusu avatar za watu niinjoi mie.
phina, are you Phina Mango?
Hii kiss ilikuwaje? Ni ile ya kuingiziana ndimi ndani ya vinywa na kuzizungusha kama hamna akili nzuri au ni ile ya kuchum shavu la mtu wa jinsia tofauti. Hii ya kwanza haiwezi kuwa accident ila hii ya pili inajadilika.
so u have learnt to cheat and here you are looking 4 somebody to cheat.
good game.
"the person who love you has no time to judge you"
"the person who love you has no time to judge you"
Double like Liz!
l think ni bora amsome Mtambuzi na uzi wake wa emotional cheating!
kestro light please..
Duh! huu ukilaza huu...... Tatizo hii mada imeandikwa kwa kiingereza na inajadiliwa kwa kiingereza, yaani hata sijaelewa kabisa, nimeona tu kuwa ninatajwa humu............
Sijui ndio nasengenywa...........................................................!