I am single again...'Honesty' is not the best policy!!

I am single again...'Honesty' is not the best policy!!

Hili thread kwa tusiojua kimombo naona halituhusu kabisaaaa....

Ngoa nrudi zangu chit chat nkabusu avatar za watu niinjoi mie.
 
phina kwa kizazi cha sasa hayo mambo ni kawaida,mi kuna binti rafiki yangu sana,mpk bf wake ana nijua bt huwa anamdanganya jamaa yake anakuja kwangu 2napga tori wewe,ataniwao hapo,bdae anarudi ...na wakigombana mi nawasuluhsha..sasa kiss ina mazingira yake..
 
Pole sana my dear,
PLease let me know if you are serious as I still with a single chember in by heart to accommodate someone who is serious in the relationship. My feeling is that, usiumie sana kwani you never know mungu amekuepushia nini ambacho kingeweza tokea pengine mkiwa na familia ambapo ingekuumiza zaidi...Let me know!!! (unaweza ni pm au andika kwa jafariabc@gmail.com"
 
so u have learnt to cheat and here you are looking 4 somebody to cheat.
good game.
 
Hii kiss ilikuwaje? Ni ile ya kuingiziana ndimi ndani ya vinywa na kuzizungusha kama hamna akili nzuri au ni ile ya kuchum shavu la mtu wa jinsia tofauti. Hii ya kwanza haiwezi kuwa accident ila hii ya pili inajadilika.

Asante mkuu!
 
"the person who love you has no time to judge you"

So l have READ, njoo kwenye maisha halisi sasa, labda umuone devil kwenye vitendo vya mwenzio ambayo inahitaji roho mtakatifu ndipo utahapoweza. Other wise sintaita love, nitaita upumbafu!

Unamfumania mkeo, halafu haumukumu? Hata Yesu aliwachapa waliokuwa wanatrade kwenye synagogue!
 
Double like Liz!
l think ni bora amsome Mtambuzi na uzi wake wa emotional cheating!

Duh! huu ukilaza huu...... Tatizo hii mada imeandikwa kwa kiingereza na inajadiliwa kwa kiingereza, yaani hata sijaelewa kabisa, nimeona tu kuwa ninatajwa humu............
Sijui ndio nasengenywa...........................................................!
 
Duh! huu ukilaza huu...... Tatizo hii mada imeandikwa kwa kiingereza na inajadiliwa kwa kiingereza, yaani hata sijaelewa kabisa, nimeona tu kuwa ninatajwa humu............
Sijui ndio nasengenywa...........................................................!

Jamani wewe..hata kutafuta kamusi ya english-kiswahili??mmmh-huo uvivu sasa sio ukilaza🙂
 
in between the lines i see that u wanted ur relationship with ur man over deep down in ur heart!!! na hii ishu ya yeye kufind out about the kiss na wewe kui confirm ime-happen to ur advantage.. anyway if am wrong then am sorry lakini nakubaliana na wewe kuwa honesty is great especially when u confront the person u cheated urself ingawa unaelezea kuwa circumstances hazikua in ur favor at the time lakini naamini siku zote penye nia pana njia... in all probability it appears that ur man was also looking for a escapegoat
 
Back
Top Bottom