Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa huyu imezidi, yaani wakati mwingine naota usiku kuwa amenikimbia kitandani, nikigeuka namkuta amelala fofofo.
Hapo humuamsha na kuanza kumhoji ni wapi alipotaka kukimbilia.
Unaona sasa...hizi ni dalili za ugonjwa wa akili. Usipowahi matibabu ipo siku utamtia bisu mwenzio kwa kudhani anamegwa na mwingine kumbe ni njozi zako tu. Na mwanamke yeyote mwenye akili timamu hataifurahia hii hali yako. Lazima itamtisha. Tafuta psychiatrist haraka iwezekanavyo.