I Am Sooooo Jealous

Kwa huyu imezidi, yaani wakati mwingine naota usiku kuwa amenikimbia kitandani, nikigeuka namkuta amelala fofofo.
Hapo humuamsha na kuanza kumhoji ni wapi alipotaka kukimbilia.

Unaona sasa...hizi ni dalili za ugonjwa wa akili. Usipowahi matibabu ipo siku utamtia bisu mwenzio kwa kudhani anamegwa na mwingine kumbe ni njozi zako tu. Na mwanamke yeyote mwenye akili timamu hataifurahia hii hali yako. Lazima itamtisha. Tafuta psychiatrist haraka iwezekanavyo.
 
mnh hujiamini!?...kuna msichana aliyewahi kukutenda nini?..limebaki subconsciously!...?!
 
Afu utawasikia kalishwa limbwata!!!!!kumbe wapi kuna wanaume wanathamini na wanajua kupenda tu.

Tuongee ukweli hivi mtu akikupenda kwa dizaini hii kweli utaipenda?
 
Jilasi ni ugonjwa wa kisaikolojia, unatokea kwa watu wasiojiamini sana sana. Ni vema kuchunguza mizizi yake na kama huwezi kujikwamua, tafuta msaada wa kiroho kwa kakobe au kwa mzee wa upako; MAOMBI.
 
Zis is tu machi mai dia!! some time privacy inaongeza ladha ya mapenzi!

Hebu jiulize Kimey,Mkeo anakuruhusu unaenda out na marafiki zake wakike au hata rafiki zako wa kike.Ukilala hukohuko sawa tu.Akikuta sms za mapenzi hakuulizi anachekelea tu.Hivi utajifikiriaje?
 
Hebu jiulize Kimey,Mkeo anakuruhusu unaenda out na marafiki zake wakike au hata rafiki zako wa kike.Ukilala hukohuko sawa tu.Akikuta sms za mapenzi hakuulizi anachekelea tu.Hivi utajifikiriaje?
Hapana hii ni tofauti bibie.....ivi wivu wa buji buji umeuelewa kweli?
 
He he he he thanx hommie kwa kujali maslahi yangu! kale ka batani ketu sikaoni

Naona huyo mtoto mkali saana mpaka jamaa anapata pata wivu sana.
Akuachie wewe ukate kiu kisha aendelee.
 

Hahaha I second that, if not divine intervention!! Au yuko insecure mazee!! Inawezekana unamiliki kitu ambacho we mwenyewe huamini subconciously!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…