I Am Sooooo Jealous

Kwa kweli dada Carmel nakupa hongera kwa kuanika ukweli huo. Mimi mdogo wangu mwenyewe yalimkuta hayo na ilkuwa kero kwa familia nzima. Jamaa alikuwa akimtukana mpaka mama yetu eti anamtafutia wanaume mwanawe na ilihali mama mwenyewe alikuwa mkoa mwengine na wao walikuwa kwengine. Alimradi ilikuwa shida mpaka kaka yetu (mwanajeshi mstaafu) siku moja akaamua kukamata shoka na kumwambia wapigane atakaekufa basi mwengine atabaki nae (yeye au familia). Jamaa alivyoona hivyo ndio akapoa.

Nyinyi munaofagilia wivu wa aina hii, mukasali muombe yasiwafike.
 
Huu wivu kwa huyu dada unasababishwa na nini mpaka aote anakimbiwa? Mbona huko kote alikopita hakuwahi kuota?? au dada amezidisha maufundi
 
Buji pole but seriously you need to trust or learn to trust your gal otherwise itakucost. Umeshauriwa uoe but sidhani kama itasaidia kwani inaweza ikawa mbaya zaidi. Ask me!!!
 
Carmel you are soooooo soooooo right. When I was reading your post, I felt like you are pointing finger at my life!!

Thank you
 
Alafu ww mademu wa wenzio unajiexpress kama kawa.
mmh apo umesema swahiba.....sampuli km izi kwa kupenda kutia mastory na vidosho wa wenzake usipime...........:mad2:


bt actualy m fillin .....for u thats pbm based on psychlogy that HAUJIAMIN thats y u take any man tokng to ya glfrend as enermy........cool down brooo ....jikubali then apo utaona kidume chochote kikilonga na manzi ako ni pimbi tu bt ur the ONLY MAN TO HER....JUST TRY TO BUY SOME CONFDENCE N YR PBM WILL GONE...........:smile-big:
 
maaan and i thought wangu ana wivu!

bujibuji wako ugonjwa seek medical help tafadhali.............

mwanamme wa aina hiyo ni kero kwa mwanamke tena usipoacha mara moja atakukimbia soon
 

Asante Rose1980 lakini ki bluray kimejimix sana hapo, Tuko pamoja!
 
Au kijana ulishaumwa na nyoka sasa ukiona jani unshtuka?? Vipi ulishafumania gl friend yako yeyote?
 
u r NOT "ACTUALLY" but REALLY drive her away fo GOOOOOD!!!
Ahhh bro taratibu
 

Umengea vizuri carmel. Dada Sadaka ndio nani tena huyo?

Jana asubuhi nilikuwa kwenye gari nikasikia kile kipindi cha wale wadada wa Clouds. Wakawa wanamhoji dada mmoja ambaye mumewe ana wivu uliopitiliza. Eti mwanaume anafikia mahali pa kuaga kwamba anakwenda kazini halafu, anarudi kinyemela anajibanza uvunguni mwa kitanda ili aone kama mkewe ataingiza mwanaume mwingine. Mwanamke harusiwi hata kwenda msibani kwa kuwa atatongozwa.

Na kila siku ni kupigwa tu. Akioga anaambiwa anapendeza ili kuvutia wanaume, akiulizwa akikaa kimya anapigwa kwa kuwa ana kiburi, akijibu pia anapigwa kwa kuwa eti ana dharau. Yaani humu duniani kuna watu wa ajabu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…