I am still in love with my first love.

I am still in love with my first love.

Hivi hizi love huwa zipo eeh?? Dah kazi kwelikweli, mimi huwa nasema nilizaliwa peke yangu tu, na hakuna kiumbe kitakachoweza kuhangaisha akili yangu kwa miezi kadhaa au eti miaka.....big no
 
Pole jaribu kujiweka busy na kujichanganya na marafiki zako utamsahau taratibu. Hakikisha hauwi idle muda mrefu.
 
Hivi hizi love huwa zipo eeh?? Dah kazi kwelikweli, mimi huwa nasema nilizaliwa peke yangu tu, na hakuna kiumbe kitakachoweza kuhangaisha akili yangu kwa miezi kadhaa au eti miaka.....big no
Ningependa kujuwa umri wako kwanza kabla sijacoment kitu hapa.
 
Don Mangi - Pole Sana. what I have learned is, you do not have to try to fall in love (again)...Hii kitu called "falling in LOVE", usually comes naturally and WHEN (not if) it hits you again.....you wont even know it at first. I am just hoping that you are not comparing every girl you meet to your x-...every woman (girl) is unique in her own ways......
 
Ndo ulichoona?

Ndo maana nikaanza na "off point", by the way, kila mlipom-quote Jimama inaonesha Lizzy (original post Jimama, qouted response Lizzy).
Just asked out of curiosity!
 
Don Mangi - Pole Sana. what I have learned is, you do not have to try to fall in love (again)...Hii kitu called "falling in LOVE", usually comes naturally and WHEN (not if) it hits you again.....you wont even know it at first. I am just hoping that you are not comparing every girl you meet to your x-...every woman (girl) is unique in her own ways......

Theenx, I will try to see that, every woman uniquely
 
Maisha ni haya haya. Unavyoendelea kujitesa ilhali mwenzio anaendelea kula good time na wala hajui km unateseka kiasi hicho. Na wala hana mpago wa kuangalia nyuma hata kukufikiria ujue unazidi kujipunguzia furaha ktk maisha yako na siku hazirudi nyuma.

Jipe muda, tune your brain kwamba huyo si wakwako teeena, tulia na fanya mambo yako mengine, furahia maisha maana hakuna atakayekupa raha ya maisha kama hutaanza kujipa mwenyewe. Na amini yupo mmoja kwa ajili yako, ila muda tu bado.
 
Thanx Koku...I will
 
Love yourself dude !huwezi kumpenda mwingine wakati ww huna furaha.
 
Hivi hizi love huwa zipo eeh?? Dah kazi kwelikweli, mimi huwa nasema nilizaliwa peke yangu tu, na hakuna kiumbe kitakachoweza kuhangaisha akili yangu kwa miezi kadhaa au eti miaka.....big no

Nimekukubali 100% mkuu!
 
Poleni sana Mkuu ni hali ya kawaida kabisa hiyo lakini baada ya muda unaweza kuendelea na maisha yako bila kuumia kama unavyoumia sasa na hutamsahau huyo binti kwa miaka chungu nzima ijayo.
 
pole mwaego, muombe mungu tu na haya yatakuwa kama mapito tu unapitia!
jaribu kusahau kuhusu huyo mtu na umove on! jiweke ktk hali ya kuamin huyo si wako tena!
kwa imani na maombi utampata tu mwenza wako, just give youself sometime!
 
Wana MMU, naanzisha hii thread with tears almost dropping off my eyes. Its all about my first love, its long since we talked to each other, our relationship wasn't possible 4 years ago because of the distance thing, then another prince charming came in her life. The thing is this, I have been trying to be in love again bt I find it so hard na nakuta I dont mean it most of times which as a reasonable man I thnk its unfair. The point of getting back to her seems impossible coz she seems very comfortable where she is.
Nisaidieni jamani, this thing is eating every part of me.

Jipe muda kwanza wa kutosha( the best medicine of a broken heart is time) wat ua trying to do is to replace her which is not right. Wewe jipe muda na accept kwamba mmeacha na move forward.
 
Back
Top Bottom