Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
what matters is the context!Aisee 😯, uwasilishaji wa huu uzi!!!
Huelewi lolote. Kwahri!Labda uandike wewe...
Hao wenzako waliandika kwasababu kuna sehemu waliguswa...
sasa hivi hawana habari, kwasababu maslahi yao yako guaranteed...
Usipende sana vya bure!A copy please
Kunapofanyika kitu kizuri kwenye jamii, kitu cha kwanza ni kuwapongeza manguli hawa wa habari kwa hiki walichokifanya maana wengi wetu tuko kimya kama hatuoni kinachoendelea, ila...Waandishi wajiandae kuandika kitanu kipya kingine I am The State
“I AM THE STATE”- BOOK LAUNCHED IN TANZANIA EXPOSING STATE HOUSE CORRUPTION, ABUSE OF POWER
View attachment 3081804
atakayeguswa maslahi yake na yale ya jamaa zake ndiye atakayeandika !!Labda uandike wewe...
Hao wenzako waliandika kwasababu kuna sehemu waliguswa...
sasa hivi hawana habari, kwasababu maslahi yao yako guaranteed...
Silence surrenders public responsibilities. I am also writing an entrepreneurship book it includes interesting topics one of them enlightening why business fail and possible solutions. Silence surrenders public responsibilities it is detailed in a topic called silent society, since business can not succeeded in silent society, (kufanya biashara kwenye jamii iliyo nyamaza huwezi kufanikiwa a.k.a jamii mfu), stay tunedKunapofanyika kitu kizuri kwenye jamii, kitu cha kwanza ni kuwapongeza manguli hawa wa habari kwa hiki walichokifanya maana wengi wetu tuko kimya kama hatuoni kinachoendelea, ila...
Writing books is for the authors, journalists are reporters, their first duty and obligations is to report through mainstream media, then they can compile and write books.
Media ni mhimili, the fourth estate or the fourth protocol, ikitimiza wajibu wake kikamilifu, inamfurusha mtu Ikulu kama walivyofasnya gazeti la The Washington Post kwenye kashfa ya watergate.
Hao wote walikuwa ni ma Chief Editors kwenye mainstream media, jee enzi zao media zao ziliripoti hizi grand corruption?. Zilitimiza jukumu la uhimili wa media kumfurusha mtu ikulu au media yote ilijiunga kwenye praise team kwa kusifu na kuimba mapambio ya "anaupiga mwingi", "mitano tena", halafu awamu ikiishapita, ndipo waandishi wahariri hawa wanakuja na vitabu hivi?.
Niliwahi kuandika humu kuhusu media zetu Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija na nikauliza Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo?
P
Well narrated Mr. Mayalla!Kunapofanyika kitu kizuri kwenye jamii, kitu cha kwanza ni kuwapongeza manguli hawa wa habari kwa hiki walichokifanya maana wengi wetu tuko kimya kama hatuoni kinachoendelea, ila...
Writing books is for the authors, journalists are reporters, their first duty and obligations is to report through mainstream media, then they can compile and write books.
Media ni mhimili, the fourth estate or the fourth protocol, ikitimiza wajibu wake kikamilifu, inamfurusha mtu Ikulu kama walivyofasnya gazeti la The Washington Post kwenye kashfa ya watergate.
Hao wote walikuwa ni ma Chief Editors kwenye mainstream media, jee enzi zao media zao ziliripoti hizi grand corruption?. Zilitimiza jukumu la uhimili wa media kumfurusha mtu ikulu au media yote ilijiunga kwenye praise team kwa kusifu na kuimba mapambio ya "anaupiga mwingi", "mitano tena", halafu awamu ikiishapita, ndipo waandishi wahariri hawa wanakuja na vitabu hivi?.
Niliwahi kuandika humu kuhusu media zetu Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija na nikauliza Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo?
P
Mwandishi hajulikani ni asiyejulikana? Mbona hujaweka jinaWaandishi wajiandae kuandika kitabu kipya kingine " I am The State"
“I AM THE STATE”- BOOK LAUNCHED IN TANZANIA EXPOSING STATE HOUSE CORRUPTION, ABUSE OF POWER
View attachment 3081804
Wametupa jiwe gizani, swali fikirishi je walioshika kitabu ndiyo waandishi?Mwandishi hajulikani ni asiyejulikana? Mbona hujaweka
Hawako serious na biashara ya kitabu chao, (mauzo ya kitabu), business is people you have to tell them what you are doing and how to get hold of you,(how and where to buy your products), the abcdWametupa jiwe gizani, swali fikirishi je walioshika kitabu ndiyo waandishi?
Na hali hii ndiyo inafanya tusipige hatua...atakayeguswa maslahi yake na yale ya jamaa zake ndiye atakayeandika !!
Wabongo wako Selfish sana sana tena sana !! 😳🤦🏽♂️
Na mkionekana mnataka kuongea lugha moja anatokea mtu anaanzisha mada za kidini kidini ili muanze kulumbana huko 😂Na hali hii ndiyo inafanya tusipige hatua...
Unafiki kila sehemu...
Ukiguswa unapiga kelele..
Akiguswa unaemchukia unashangilia...
Huu unafiki wetu CCM inautumia kutunyoosha...
Mara kapu la maembe dodo hilo, hahahaa, mnaanza kubishana kwanini wengine wale dodo kila kukicha fumba na kufumbua unashangaa wasiojulikana wanazima taaNa mkionekana mnataka kuongea lugha moja anatokea mtu anaanzisha mada za kidini kidini ili muanze kulumbana huko 😂
Mwisho kabisa mnaletewa Simba na Yanga.
UBAYA UBWELA Biashara inaishia hapo 😀
Tanzania raha sana 😂😅🙏 🤦🏽♂️
Hatari sana 🤣😱Mara kapu la maembe dodo, hahahaa, mnaanza kubishana kwanini wengine wale dodo kila kukicha fumba na kufumbua unashangaa wasiojulikana wanazima taa
Mbona mada haina ufafanuzi wa kichwa kichwa cha habari?Waandishi wajiandae kuandika kitabu kipya kingine " I am The State"
“I AM THE STATE”- BOOK LAUNCHED IN TANZANIA EXPOSING STATE HOUSE CORRUPTION, ABUSE OF POWER
View attachment 3081804