Hao wote walikuwa ni ma Chief Editors kwenye mainstream media, jee enzi zao media zao ziliripoti hizi grand corruption?. Zilitimiza jukumu la uhimili wa media kumfurusha mtu ikulu au media yote ilijiunga kwenye praise team kwa kusifu na kuimba mapambio ya "anaupiga mwingi", "mitano tena", halafu awamu ikiishapita, ndipo waandishi wahariri hawa wanakuja na vitabu hivi?.