Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Nikijua na wewe utajua; Nikifikiria kufanya utakuwa wa kwanza kujua. Join me.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wengine bana........mbona una kapost kamoja unapeda twitterling wewe?I didn't cuzin kama na wewe una twiterring?.....Ok my Twitter name is Kelly01 add me in cuz....I love twiterring....LOL!..And picture acha kuweka annoymous and fake pic za macelebrity!....
watu wengine bana........mbona una kapost kamoja unapeda twitterling wewe?
iweke kiswazi nikuelewe vizuri.......Just admit you miss me!.....
iweke kiswazi nikuelewe vizuri.......
nimekutumia PM nijibu huko huko hapa wanga wengi......whatever!...have a gu-day!..
nimekutumia PM nijibu huko huko hapa wanga wengi......
yupi?Shori wako mwenye mitattoo ya bei rahisi naye anatwitter?
yupi?
huyo shori hana sifa zangu.......kuna watu wameshakuwa facebookholics na twitterholics.....Eninka.
Hii twitter na Facebook unajua kwenye baadhi ya maofisi wameblock.
twitter ina faida gani?facebook.. nilijaribu imenishinda kwa kweli.. so.. twittering is easy haitaji mambo 1001
twitter ina faida gani?
nimekusoma mjomba.....ila wewe unashabikia timu gani?it lets u know whats up with the people u decide to follow.... wao wanakujulisha nini kinaendelea kwa maneno machache so you are updated with whatever is going on.. sometimes it is the best way to break news too.
atakuwa ana twitter kimya kimya kwa jina lingine.......Rais wetu wa Jamhuri ana Twitter? Maana kuna account "yake" ya Facebook